Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilikuwa na mkewangu nimpendaye sana, naye akanipenda vilivyo.kwa ufupi tulipendana mpaka majirani na ndugu wakatupigia mfano Lakini dunia hii haikosi wabaya, watu wenye kijicho wakaenda kwa wakwe...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kutokana na matatizo mengi yaliyonikuta mpaka sasa nahangaika nimekuja na swali ambalo hata sie wengine kati yetu hatujui ambalo linahusu talaka. Swali langu ni: Mume ambaye amekupa talaka ya...
0 Reactions
66 Replies
62K Views
Iko hivi!:- Nina age ya 30 hivi na nimfanyabiashara niko Dar katika age ya ujana nilishapitia relation kadhaa sasa pia katika age hii ya utu uzima nimeshapitia relation kadhaa, sijapanga kuoa...
6 Reactions
82 Replies
11K Views
WHAT THINGS MAN NEED TO KNOW Ladies wanapenda yule mwanaume ambae romance yake inapelekana nakutoa, Yule mwanaume anakupeleka kwa show alafu ile kitu yoyote unakula kwenye hiyo show he...
4 Reactions
47 Replies
9K Views
Habari zenu wadau Hii maluum kwa wale wote waishio miji mikubwa na miji inayoaanza kukua. Wengi wafuatiliaji wa mambo mnajua suala la wanawake kupanga foleni na kujiuza kwa miaka ya nyuma hizi...
2 Reactions
14 Replies
9K Views
Hi JamiiForum, Mimi ni kjana natafuta au rafiki wa kike wa kuchat nae. Umri miaka 18-26. Kwa aliye tayari ani pm.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hili ni janga na msiba mkuu. Siku hizi hakuna tena mada za akina dada kusifia wanaume kuwa wana shughuli pevu au wanajua kuhonga. Hakuna tena zile mada za akina dada/mama wakisimulia masaibu...
21 Reactions
91 Replies
11K Views
Mimi pia napenda kwelikweli wanawake wenye hips na makalio makubwa lakini siku moja niliulizwa na mwanamke flani hivi kwanini winaume walio wengi wanapenda wanawake wenye matako makubwa...
1 Reactions
69 Replies
32K Views
T
14 Reactions
232 Replies
25K Views
Sabakher Wadau; Hiki Ninachoandika Sina Uhakika Nacho Na Ila nina Mifano Yake! Kuna Mzee Hapa Nyumba Ya Pili! Yaan Now Kafikisha Hata 65 yrz! Lakin Anagonga Chabo Balaa! Tumemfuma Mara 5...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Miezi kadhaa iliyopita wakati cjapanda cheo nilikuwa nikitumia jina la Galadudu tu nilileta uzi hapa nikiwaambia jinsi ambavyo niliota nimekutana na member mmoja wa Jf (cjui kabisa alikuwa ni nani...
1 Reactions
60 Replies
7K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 na ni mkristu. Mwaka 2013 nilitokea kuingia katika mahusiano na msichana mmoja mwenye dini ya kiislamu ambapo mapenzi yetu yalidumu mpaka wiki iliyoisha...
4 Reactions
92 Replies
15K Views
Jamani mwanamke unatia aibu kukata mauno hauwezi, kazi nayo huwezi,ukiingia dakika zote umelalaga tu kama gogo, mapenzi ni raha na sio karaha, khaa! Stukeni jamani.
3 Reactions
157 Replies
33K Views
Sifa za huyo mwanamke awe anapatikana Dar es salaam, awe mkristo na mcha Mungu, miaka kuanzia 23-26.awe ni mtu wa kujishughulisaha either amehajiriwa au amejiajiri. Imani yangu ni kwamba yupo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Joao Pereira, alimkuta penguin yupo mahutuki karibia kufa, akamchukua akamsafisha na kumtibu. Hakutaka kumfuga bali alipopona alimuachia akaenda zake. Kitu cha ajabu ni kwamba kila mwaka huyo...
10 Reactions
56 Replies
9K Views
Habari wakuu, Mimi nina swali hivi ni sahihi kweli kwa mwanamke ambae ameolewa kumsifia mwanamme mbele ya mme wake. Mfano nampenda kaka flani,kaka yule mzuri.
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Mimi ni mwalimu wa shule moja ambayo sitaitaja. mwezi uliopita mwanafunzi wangu wa kike ambaye yuko kidato cha tatu alinifuata na kuniambia anataka kunipa zawadi... Sikuwa na hili wala...
0 Reactions
96 Replies
27K Views
Si kale ka mvua ka asubuhi nikachukua mwavuli nikasema nikanunue chapati, sasa kufika nikakuta mama wa chapati hajapika sasa wakati narudi home nikaona kuna kibobo cha maandazi nikasema embu ngoja...
3 Reactions
46 Replies
6K Views
Sorry sijui kwanini msichana akihisi kauchumi kako kameyumba anasema naona umepata mwingine bora tuachane is it no money no honey?
1 Reactions
95 Replies
9K Views
Habarini Wadau, Nina hilo swali kuwa Je huwa hawa dada zetu wa kikurya huwa wanapenda kuolewa kwa harusi? Hilo swali nimejiuliza sana kwasababu mbili: 1) Nimehudhuria harusi nyingi kiasi ila...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…