Yamenikuta, alinipa zawadi ya saa, nisipovaa saa nakosa amani

mgombea uvccm2017

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
505
376
Iko hivi!:-

Nina age ya 30 hivi na nimfanyabiashara niko Dar katika age ya ujana nilishapitia relation kadhaa sasa pia katika age hii ya utu uzima nimeshapitia relation kadhaa, sijapanga kuoa labda nikifika 35 kwasababu kuna malengo nahitaji niyatimize kwanza.

Katika relation nilizopitia kwenye utu uzima (sihesabu zile za ujana kwasababu unakuta mtu bado hujakomaa) wanawake wote ambao nimekuwa nao (wafanyakazi na wafanya biashara wenzangu) tumefanya mengi kwa pamoja,
lakini juzi kati bana kuna binti wa kidato cha tano ambaye ni mdogo wake na dada niliyemuajiri dukani kwangu alinipa zawadi (kwasababu naishi na wafanyakazi wangu kama wadogo zangu! Tumezoeana)

Alinipa saa ya rado ya elfu tano na kitambaa cha kujifutia jasho nadhani ni cha buku hivi!Ilikuwa birthday yangu!Sasa cha kushangaza hapa ndani nina saa mpaka za laki mbili ila nimekuwa nikijikuta napenda kuvaa hii saa ya huyu mtoto na kutumia kitambaa chake kila wakati.

Yaani mpaka najishangaa! Nimejikuta nathamini sana hizi zawadi kuliko kawaida! Kila wakati huwa najiuliza binti asiye na kipato kajibana anipe zawadi yaani naziona kama zawadi za gharama kuliko kawaida.Sina hisia za kimapenzi na huyu mtoto wala yeye hajaonesha na ananiheshimu.

But tatizo kila napokuwa sijavaa saa yake sijihisi amani!Mpaka nirudi kuivaa na nakuwa na amani sana.

Hivi hapa nimechezewa au nini kinaendelea?
 
Mmhuuu!! SAA Ya Rado Buku 5 Nitarudi!!!
1458832658804.jpg
 
Hata mimi naheshimu buku ya mtu fulani kuliko elfu kumi ya mtu fulani. What i see from her ni kwamba anajali. Na mimi namuheshimu sana mtu anayejali naomba u-mjali huyo mdada. Mambo menngine mi simo
 
Kuoa huwa inakuja automatically hulazimishwi na mtu na kigezo cha kumheshimu huyo binti au yeye kuku heshimu sio kigezo cha ww na yeye kutokuwa wapenzi hayo mambo ya kutamani kubwa hizo saa inakutokea kwa sababu akili yako imeanza kumpenda ila unakuwa unajidanganya kama haumpendi na unaona usipovaa ukakutana nae unaona kama hatapenda to a posa hapo ndio chaguo lako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom