Wanawake hupenda mwanaume afanye hivi

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Jun 22, 2013
1,301
739
WHAT THINGS MAN NEED TO KNOW

Ladies wanapenda yule mwanaume ambae romance yake inapelekana nakutoa,

Yule mwanaume anakupeleka kwa show alafu ile kitu yoyote unakula kwenye hiyo show he takecareoff.

Ladies wanapenda yule mwanaume kukiwa na barid anakutolea koti yake uvae na ni yeye anakuvalisha.

Yule mwanaume mkicross kwa barabara anakushika mkono na anakubebea handbag.

Now the problems is.........

Hakuna mwanaume mpumbavu kiasi hicho hakuna
 
Sijakuelewa unamaanisha nini mkuu, kama wewe huwezi kufanya ayo mambo sisi tunawafanyia kila siku
 
Sijakuelewa unamaanisha nini mkuu, kama wewe huwezi kufanya ayo mambo sisi tunawafanyia kila siku
Kama umemwelewa anamaanisha kama wewe unamfanyia hivyo mwanamke wako basi wewe ni mwanaume mpumbavu. Rudia thread yake uisome vizuri.
 
WHAT THINGS MAN NEED TO KNOW

ladies wanapenda yule mwanaume ambae romance yake inapelekana nakutoa,

Yule mwanaume anakupeleka kwa show alafu ile kitu yoyote unakula kwenye hiyo show he takecareoff

Ladies wanapenda yule mwanaume kukiwa na barid anakutolea koti yake uvae na ni yeye anakuvalisha

Yule mwanaume mkicross kwa barabara anakushika mkono na anakubebea handbag ......

Now the problems is......... ........

Akuna MWANAUME Mpumbavu kias hicho akunaaaaaaaaa
Acha movie sana..mwanamke ishu ni umfraishe katika maisha ya kawaida na kitandan..
 
Hahahaha eti kuna mtu amekushaur uache mapenz ya kizungu na kihindi
Ni kiasi cha wewe kuwagegeda vizur basi itakuwa inatosha
 
Nijuavyo mimi....
Mwanamke anahitaji mwanaume mwenye ku-show love and care.
Na hapo kwenye hizo maneno mbili, inategemea na mwanamke anamtazamo upi au anaitazama kwa engo ipi ukimwambia love and care.
Hapo ndipo tunaporudi kwa point ya tuishi nao kwa akili.Then msome mwanamke wako na hakikisha unacheza na vitu mbili kwake ambavyo ni Akili and Hisia.
 
WHAT THINGS MAN NEED TO KNOW

ladies wanapenda yule mwanaume ambae romance yake inapelekana nakutoa,

Yule mwanaume anakupeleka kwa show alafu ile kitu yoyote unakula kwenye hiyo show he takecareoff

Ladies wanapenda yule mwanaume kukiwa na barid anakutolea koti yake uvae na ni yeye anakuvalisha

Yule mwanaume mkicross kwa barabara anakushika mkono na anakubebea handbag ......

Now the problems is......... ........

Akuna MWANAUME Mpumbavu kias hicho akunaaaaaaaaa

Baba chanja wangu ananibebea mpk handbag tukifuatana hajali wingi wa watu wala kitu gani., yan ananijali kwa kweli na Mungu ampe maisha marefu.

Ila akirudi tu kazini anashinda na simu yangu masaa yote yan kama yake vile., kwa vile sinaga vijanaume vya nje yan namwachia tu akae nayo mpk anachoka
 
Kama hubebi pochi ni wewe, wenzio wanabeba sana tu na makoti wakati wa baridi wanavua
 
Kwa wazungu ukiona mwanaume anamfungulia mlango wa gari mkewe ujue no mahaba ila kwa waafrika ujue mlango wa gari mbovu.
 
Baba chanja wangu ananibebea mpk handbag tukifuatana hajali wingi wa watu wala kitu gani., yan ananijali kwa kweli na Mungu ampe maisha marefu.

Ila akirudi tu kazini anashinda na simu yangu masaa yote yan kama yake vile., kwa vile sinaga vijanaume vya nje yan namwachia tu akae nayo mpk anachoka
Hapo chacha.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom