REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,611
- 9,813
Habari zenu wadau
Hii maluum kwa wale wote waishio miji mikubwa na miji inayoaanza kukua.
Wengi wafuatiliaji wa mambo mnajua suala la wanawake kupanga foleni na kujiuza kwa miaka ya nyuma hizi habari zilikuwa zinatoka dar tu miji midogo midogo hii kitu haikuwepo na kama ilikuwepo basi kwa siri sana tofauti na leo ambapo karibu kila kona ya Tanzania hii biashara ipo.
Yani sehemu yoyote penye umeme unawaka na ukitembea unaona Kuna bar au grosari na nyumba za wageni jua wanawake wakujiuza wapo sema utajuaje.
Hii utajuaje ndio narudi kwenye lengo la uzi huu kuwa ikiwa wewe ni mtu ambaye unasubilia jua lizame uendi wachukua maeneo wanayojipanga jua umepitwa na wakati ikiwa wewe upo.
Mbeya unasubilia usiku uingie uendi Mbeya carnival beba jua umepitwa na wakati.
Ukiwa Mwanza unasubilia jua lizame uendi villa Park au deluxe jua umepitwa na wakati.
Ukiwa Dar unasubilia uendi mitaa ya kati jua umepitwa na wakati kwanini nasema hivi.
Wanawake wazuri wanaouza siku hizi hawapangi foleni tena wao wapo maofisini masokoni mtaani unapokaa au nyumba uliopanga.
Utawajuaje endelea kwenda mitaa ya kati u out dated ukiisha utawajua hata kwenye dala dala utajua uyu anauza.