kizibo1
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 1,187
- 766
Nilikuwa na mkewangu nimpendaye sana, naye akanipenda vilivyo.kwa ufupi tulipendana mpaka majirani na ndugu wakatupigia mfano
Lakini dunia hii haikosi wabaya, watu wenye kijicho wakaenda kwa wakwe na kuwajaza maneno mengi ya uongo lakini tatizo ni kwamba nilimshikisha adabu jamaa mmoja mmbea sana
Wakwe nao bila kuwaza mara mbili wakamchukua mtoto wao bila hata kutaka usuluhishi
Sijajuta kwakuwa jirani aliyenisababishia yote naye bado anaugulia maumivu ya kipigo ila namuandalia kubwa zaidi lazima nimtie kilema