Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,727
- 729,899
Hili ni janga na msiba mkuu.
Siku hizi hakuna tena mada za akina dada kusifia wanaume kuwa wana shughuli pevu au wanajua kuhonga.
Hakuna tena zile mada za akina dada/mama wakisimulia masaibu waliyokutana nayo baada ya kutoka na mwanaume fulani na kusuguliwa kwa masaa hadi kikawaka moto.
Hakuna tena story za kuchoshwa mno kitandani mpaka siku ya pili kushindwa kwenda popote.
Siku hizi ni story za malalamiko ya kutofikishwa popote huku wanaume nao wakigeuka walalamikaji wakubwa kwa wanawake.
Siku hizi kila ukiingia MMU huwezi kosa mada ya mwanaume kulialia, mwanaume unalialia? Kweli! Mwanaume kutwa kucha ulalamika mitandaoni?
Pathetic