Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Poleni kwa majukumu ndugu zangu. Mi ni msichana niko kwenye mahusiano na mwanaume mmoja. Lakini simuelewi kabisa maana hataki tuitane majina kama baby, dear, sweet nk. Yaani anataka tuwasiliane...
1 Reactions
209 Replies
20K Views
Jamaa kapata demu wa kizungu hapa TZ, Huyo mzungu ni hawa wanaokuja kama ma-volunteer kwenye vituo vya kulea watoto yatima...Demu kampenda sana chalii wakapanga waende majuu..Kila kitu...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Vijana wengi wanalalamika na wanashindwa kuelewa kuwa maisha ya leo yanaendeshwa na dhana kubwa ya nipe nikupe, ikiwa na maana ukitaka mahusiano na mtu yoyote lazima uwe una kitu unampa na yeye...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu, Kwakweli nimeishiwa ujanja wote.Mpenzi wangu kakuta condoms kwenye suruali yangu imekua kesi kubwa balaa. This is second time anakuta condoms ingawa mara ya kwanza nilimshawishi kuwa ni...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Kama ulikuwa na mpenzi/mme /mke mkiachana kaa kimya kuendelea kumuongea ni kujidhalilisha yaani unakuta mtu kutwa kucha kumsemea mabaya ex wake mara ana kibamia mara yule mchafu mara yuko vile...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Hiki ni kielelezo tosha kwamba wenzetu wa jinsia ya upande wa pili yaani wanawake hawapendani.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, Mimi nimeshachoka na hizi movies za Marekani na Uingereza. Kama utakua umechunguza vizuri kati ya movie 5 basi 3 zina kua na scene ya mapenzi ya jinsia moja (gay). Sasa wadau mimi...
7 Reactions
92 Replies
14K Views
Kila Siku wanashinda kwenye nyumba za ibada, wakifunga na kuomba ili wapate wanaume wa kuwaoa. Hilo ni jambo jema sana, maana sisi sote kimbilio letu ni MUNGU tu. Pamoja na yote hayo, hebu...
13 Reactions
53 Replies
6K Views
msichana umri wake 21. , mvulana umri wake 25 hivi wadau hapo kuna mapenzi au kupotezeana muda
0 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Closed
Naombe ushauri wenu,kunampenzi wangu kila nikikutanamae kimwili anataka nimuingilie kinyume na maumbile yake anasema mbele hakuna radha yani hafurahi vizur,na mimi sitaki kupachika Nanga yangu...
2 Reactions
85 Replies
21K Views
Hi ladies; My qualifications are: Learned person,hard worker,Roman Catholic,chaga,30yrs old & available Dsm. I invite an interested woman who should meets at least bellow mentioned terms...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana, Najitokeza kwenu mi ni kijana, natafuta mpenzi alie na umri miaka 18_23 mimi umri wangu miaka27 ila awe mkazi wa Kanda ya ziwa mi niko Mwanza. Mawasiliano no yangu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa katika bwana. Ninajitokeza kwenu kuomba msaada kwa jambo hili. Ninarafiki yangu aitwaye Makubi Madukwa Nyumbi,yeye ni mzaliwa wa wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi.Marehemu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imeonekana kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa na hela mfukoni na "erections" kwa mwanaume. Iko hivi: Mwanaume akiwa na pesa ya kutosha mfukoni, anakuwa ana function vizuri, akiwa na pesa kiasi...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika suala la mahusiano huyu binti au mama anahitaji ushauri wa wazazi na ndugu zake.Kwani anayofanya inaoonesha tayari ana kasoro fulani.
0 Reactions
87 Replies
25K Views
Habarini wadau, Kwa jinsi ninavyowafahamu mabinti wengi wa sasa (ambao ni wasichana wetu) ni kama wanaingia kwenye ndoa tu kwa ajili ya kupata unafuu wa maisha na wajulikane kuwa wameolewa. Pia...
1 Reactions
69 Replies
7K Views
Namste! I missed you guys! Nina mengi ya kuandika humu, tatizo muda. The luxury of time is what I dont have at all. Twende kwenye mjadala fasta. Sio uongo wala unafiki, wanawake wenzangu, wake...
26 Reactions
121 Replies
14K Views
Kwanini umpotezee mtu muda & gharama na thamani anayokupa huku ukijuwa fika kuwa "kijijini unapotoka una mtu uliyeandaliwa tayari"?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
RIWAYA: HILA MTUNZI: George Iron mosenya MWANZO WA SHUBIRI Umri wao ulikuwa unakimbilia miaka ishirini na nane upande wa mwanaume na ishirini na tano kwa mwanamke, lakini sasa walikuwa wamegeuka...
5 Reactions
121 Replies
35K Views
Kuna watu wanafedhehesha sana, tena wengine wakiwa ni watu wazima waliofika miaka 40 au zaidi huku wakiwa wanaandika hovyo wakati wa kutuma ujumbe hasa WhatsApp au hata sms za kawaida. Mtu mzima...
10 Reactions
82 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…