Mpenzi wangu anataka niwe namuingilia kinyume na maumbile yake

Status
Not open for further replies.
Mar 31, 2016
5
6
Naombe ushauri wenu,kunampenzi wangu kila nikikutanamae kimwili anataka nimuingilie kinyume na maumbile yake anasema mbele hakuna radha yani hafurahi vizur,na mimi sitaki kupachika Nanga yangu mtoni huko anapopataka,sasa ivi ananitishia kuniacha.
 
.....Bahati hiyo,mtatue hayo marinda then chapa mwendo hamna mwanamke hapo....kwani ndo mchezo wake.
 
Kashakula nyama ya mtu huyo, hawezi kuacha. Kazi ni kwako uamue kula kisamvu ama kumuacha akatafute wataalam wa hayo makitu.
 
We jaribu tu cku mo1 kunywa hicho soda ya kopo uone ikikufaa endelea nayo tuu
 
Naombe ushauri wenu,kunampenzi wangu kila nikikutanamae kimwili anataka nimuingilie kinyume na maumbile yake anasema mbele hakuna radha yani hafurahi vizur,na mimi sitaki kupachika Nanga yangu mtoni huko anapopataka,sasa ivi ananitishia kuniacha.

Mkuu kwanza nakupa pole kwa yanayokukumba. Pili nimesoma umeandika mpenz wako na wala hujasema ni mke wako maana angekuwa mke ingekuwa kesi nyingine lakini hii ni rahis kudeal nayo.

Kwakifupi i'm just giving you a last warning to stop immediately, kama ni kweli hujamuingilia kinyume its okay, lakini kama una-report umeshaingia mara kadhaa nakushauri anzia hospitalini kamuone daktari haraka sana.

Nasikitika kukutaarifu ya kuwa endapo umefanya hivyo, Uume wako eneo la mdomo ukaingia uchafu (kinyesi) likely mishipa itaanza kuishiwa nguvu za ku"pump" vimiminika vinavyotumia njia hiyo as a routine order. Na endapo utaendelea na mchezo huo mishipa itaziba kabisa.

1.Utaishiwa na nguvu za kufanya tendo hilo kabisa,hali hiyo italeta effect kwenye "testrogen" na kuaffect kabisa "thyroid glands" kufanya kazi yake na kuharibu mfumo wa "hormones" infact unaweza kupata "psychological effect". As a result you can feel se...x. But you will NOT be able to PERFORM the exercise.

2.Uume wako unaweza kuanza kutoa feedback ya us....ha msito wa rangi ya njano na pia vijidudu kama viluwiluwi kama mchezo huo umefanya au utafanya kwa muda mrefu,hivyo vijidudu nimesahau jina la kitaalam kidogo wanao endeleza fani ya utabibu hawajakimbilia fursa nyingine wanaweza kuweka sawa.

3.Mkuu utapatwa na maumivu makali ya kibofu hasa mishipa ya chini na pale mdomoni wakati wa ku-"urinate" wewe utakuwa ni mtu wa kulia tu, moja haikai wala mbili haikai. Utakosa amani katika maisha yako yote na mwisho

4.Utahitaji kufanyiwa operation kubwa ya huo uume wako kitu ambacho hata ukipona kabisa,wengine wanapona maumivu kabisa maana njia inakuwa imeshazibuliwa lakini unfortunately you may or may not work properly. In short "YOU WILL NOT BE THE SAME AGAIN".

MY OPINION:
Ni kweli kwa mwanaume yeyote "lijali" aliyeumbwa na Mungu, tukiacha unafiki, wengi huvutiwa sana na maumbile ya mwanamke esp.makalio. Yanamvutia sana mwanaume kumfanya awaze kujaribu kuingia huko aone kuna nini cha ziada. Lakini mateso yake ni makubwa na makali sana na ni ya milele kuliko starehe ya mara moja au dakika 10.kuweni makini wababa,wakaka,wanaume wote kwa ujumla.

Kikurajembe Original
 
Naombe ushauri wenu,kunampenzi wangu kila nikikutanamae kimwili anataka nimuingilie kinyume na maumbile yake anasema mbele hakuna radha yani hafurahi vizur,na mimi sitaki kupachika Nanga yangu mtoni huko anapopataka,sasa ivi ananitishia kuniacha.
Sana mkuu mbona Uzi mfupi?
Huyo mpenzi wako ana elimu gani, je amesoma nje ya nchi?
Mahusuano yenu yana mda gani?
Unajua background yake?
Huu utamu wa back kajulia wapi?
Nani kamfundisha?

Yote kwa yote mweleweshe kuhusu madhara yake ikiwa pamoja na Cancer. Kwenye labor badala ya kusukuma mtoto atakuwa anasukuma mimavi tu.
Wewe Mwanaume njia ya mkojo ita block so usiendelee kufanya.

Mfundishe juu ya uwepo wa Mungu na jaribu kumjengea hofu ya Mungu.

Usimtie vidole huko back maana anazidi kukumbuka na kuanza kuwashwa na mabaki ya mavi.

Inaonyesha aliwahi Fanya na uchafu kama wa fangas unakaa katika sehemu zilizochibuka so anawashwa.

Inaonyesha unampenda Sana ulimwahidi makubwa. USIMWACHE badala yake uwe mkombozi wake ili aione mbingu.
 
Naombe ushauri wenu,kunampenzi wangu kila nikikutanamae kimwili anataka nimuingilie kinyume na maumbile yake anasema mbele hakuna radha yani hafurahi vizur,na mimi sitaki kupachika Nanga yangu mtoni huko anapopataka,sasa ivi ananitishia kuniacha.
Mwenzako amezoea ndo maana anajuwa ladha yake, usijaribu kumdumbukizia, hebu kaa nae umshauri ache, akiwa kinang'anizi achana nae.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom