Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,893
Habarini wadau,
Kwa jinsi ninavyowafahamu mabinti wengi wa sasa (ambao ni wasichana wetu) ni kama wanaingia kwenye ndoa tu kwa ajili ya kupata unafuu wa maisha na wajulikane kuwa wameolewa.
Pia, ni vigumu sana kwao kumkatalia/kumnyima papuchi mtu aliyekuwa naye katika uhusiano,hata kama alikuwa na wengi. Hapa ndipo naamini kuwa kumbe kujitunza kwa mwanamke (kutunza bikra yake hadi wakati wa ndoa) kuna umuhimu.
Zamani ilikuwa ukiwa na uhusiano na binti kisha akaolewa ndio unamsahau kabisa kimapenzi na mnaanza kuheshimiana tu kiutu uzima.
Ila sikuhizi waaapi. Hamna kitu,wake za watu wengi wanakuwa warahisi mno.