Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,949
Wakuu,
Kwakweli nimeishiwa ujanja wote.Mpenzi wangu kakuta condoms kwenye suruali yangu imekua kesi kubwa balaa.
This is second time anakuta condoms ingawa mara ya kwanza nilimshawishi kuwa ni za rafiki yangu alizisahau ndani ila this time kazikuta kwenye suruali imekuwa balaa,kawa mkali kama mbogo.
Hapa analia tu toka jana usiku,huyu binti ana wivu balaa,nimesema hadi nimeishiwa haelewi anataka nimwambie ukweli kuhusu huyo mwanamke mwingine.
Huyu binti ashawahi kukuta meseji za whatsapp kwenye simu yangu akanywa sumu,tulifanya jitihada za ziada kuokoa maisha yake,sasa nahofu asije kurudia kufanya huo ujinga.