Kama ulikuwa na mpenzi/mme /mke mkiachana kaa kimya kuendelea kumuongea ni kujidhalilisha yaani unakuta mtu kutwa kucha kumsemea mabaya ex wake mara ana kibamia mara yule mchafu mara yuko vile wakati huyo mtu mmeishi nae miaka kadhaa ina maana madhaifu hayo hukuyaona kabla? Hii inakuwa ni dalili kwamba bado unampenda.
Tena unashangaa dume zima linaeneza mambo ya ex wake kwa watu wengine, huu ni ujinga na unakuta unajidhalilisha mwenyewe umeachwa umeacha wewe kaa kimya tafuta mwingi songa mbele, tumia muda huo kurekebisha madhaifu yaliyokufanya mkaachana na mwenzi wako baadala ya kuongea mabaya yake.