Khadija Kopa awatolea uvivu wanawake wenzake

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,400
24,984
Hiki ni kielelezo tosha kwamba wenzetu wa jinsia ya upande wa pili yaani wanawake hawapendani.

uploadfromtaptalk1459862866062.jpg
 
mtu mzima hovyooooo.....angalia jinsi alivyojikoboa huko usoni....sura kama ya kambale .....hawa wamama nao muda mwingine kujifanya kwenda na wakati huku wakati umeshawatupa ndio wanajiharibu pasipo kujua....so sad....uso umeharibika kawa kituko sasa....!
 
Wewe ni Nesi nini?
 
Waimbaji wa zile nyimbo kati ya niwapendao ni huyo Kopa na Isha, mm nampenda sana hata umtukane. mm ni serengeti boy hata yeye anajua!
 
mtu mzima hovyooooo.....angalia jinsi alivyojikoboa huko usoni....sura kama ya kambale .....hawa wamama nao muda mwingine kujifanya kwenda na wakati huku wakati umeshawatupa ndio wanajiharibu pasipo kujua....so sad....uso umeharibika kawa kituko sasa....!
Mkuu Huyu mmama Ni mweusi sema kamera tu imemngarisha ila hajajichubua
 
Hata mimi nikienda Hospital natamani kutibiwa na mwanamke, hasa hasa kukiwa na zoezi la kuonesha maeneo mabovu.

Imagine unaenda kupimwa tezi dume na mwanaume mwenzako!
 
50 kwa 50 kwanza wanawake wenyewe kwa wenyewe waitafute kisha ndio wa beep kwa wanaume
 
Back
Top Bottom