Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,188
- 7,490
Imeonekana kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa na hela mfukoni na "erections" kwa mwanaume.
Iko hivi:
Mwanaume akiwa na pesa ya kutosha mfukoni, anakuwa ana function vizuri, akiwa na pesa kiasi mfukoni, anakuwa na perfomance ya kawaida, akiwa hana kitu au ana nauli tu dah! Hamna kitu.
Sasa kwa kipindi hiki hali ya uchumi ilivyo, wanawake wengi watalia sana! Ila sasa hamna namna mpaka uchumi utakapoimarika.