Njia panda

wambagusta

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
2,825
2,291
msichana umri wake 21. , mvulana umri wake 25 hivi wadau hapo kuna mapenzi au kupotezeana muda
 
Kwa walio wengi miaka 22 mtu keshamaliza degree ya kwanza kwa maana hiyo huyo jamaa kesha kaa mtaani miaka 3 tangu amalize chuo kama alipata kazi nzuri ana nyumba na anasukuma mashine kali tu..Kwa wale waliobahatika kuzama TRA na BOT...Na huyo binti yuko mwaka wa pili chuo..Kuna shida kweli hapo ama ni wazazi kuwapa baraka vijana waendeleza maisha tu..
 
Mtu usipojua unaokenda, Njia yoyote inaweza kukufikisha utakapojikuta na sio unaokenda maana hukujui.
Swali lako halina mashiko. Labda uliongezee mashiko ndo tukushauri.
 
Back
Top Bottom