Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hi there, I am man from Tanzania, and I am 23years of age, 65kg and 178cm tall. By now am still a student attending my studies at a certain institute at Dar es salaam. I am a caring, truthful...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello, Najitokeza hapa kutafuta rafiki wa kike kwani naamini anapatikana popote pale.Napenda rafiki huyo awe mkristo mwenye kumjua Mungu, awe mkweli na mwenye malengo ya maisha. Asizidi miaka...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Tulipotoka chuo mwanzoni mwa miaka ya 2000 mimi na rafiki yangu kipenzi tulipata kazi nzuri na yenye kulipa vizuri sana, kazi hiyo tulitafutiwa na Mchumba wa huyo shosti wangu, tulipomaliza...
13 Reactions
16 Replies
7K Views
Wandugu nawasalimu Mchumba ambae ninaishi nae ni mjamzito wa miezi karibia nane sasa anapata maumivu tukikutana kimwili, tumeacha kukutana kama miezi 2 nyuma sababu hiyo Sasa mm Hali yangu...
1 Reactions
94 Replies
10K Views
Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao. 1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao 2. wasichana warefu huwa...
1 Reactions
86 Replies
44K Views
Kwanza nipende kuwashukuru members wa JF kwa ushauri mzuri mnaotoa kwa wale wanao omba ushaur naumia mgongo nkimaliza tendo la kungonoka
2 Reactions
59 Replies
6K Views
RIWAYA: PUMBAZO NA: George Iron Mosenya SEHEMU YA KWANZA ILIKUWA yapata majira ya saa tatu na dakika zipatazo kumi na mbili kwa mujibu wa saa yangu ya mkononi. Nilikuwa nimegida chupa za pombe...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari wakuu, Hii kitu imenitokea kwangu na ninahisi mwanaume mwezangu simtendei haki, kuna binti mmoja nilikuwa naye kwenye mahusiano kipindi cha nyuma, tukapotezana takribani miaka miwili...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
What do girls first notice in a guy as soon as they set eyes on him? The shoes? The car-keys? The body language? These are the first 5 things a girl notices in a guy the first time she meets...
7 Reactions
117 Replies
17K Views
imetokea kasumba kuona wengi wakitoa ushauri kwa wanaotaka wapenzi kuwa ni vyema wakaenda kujaribu bahati yao facebook ama kwingineko. Mimi nawaambia hata hapa ni sokoni,watu wapo kazini,wateja...
8 Reactions
191 Replies
12K Views
"Yuko wapi? Yuko na mwanamke mwingine? Inakuwaje ameniweka hapa muda mrefu hivi? Mke mwenye hasira alikuwa akijiuliza wakati akimsubiri mumewe. Mahusiano yake na mumewe hayakuwa mazuri kwa miaka...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wanaume wenzangu mlio kwenye ndoa au mahusiano yoyote, nafahamu mnatafuta pesa kwa kila namna asubuhi mpaka jioni, kwa ajili ya hao mnaowaita wapenzi wenu! Swali hili huwa linaniumiza kichwa sana…...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
Mabibi na mabwana heshima kwenu, Nimekuwa nikisikia tu watu wakisema ama kwenye vyombo vya habari kuhusu wanaume kupigwa na wanawake, lakini jana nimejionea kwa macho, jinsi bwana alivyokuwa...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Dahh, Wakenya ni hatari sana. Yaani Mbaba ameamua kuvulia kwenye tenga. Na mbaya zaidi huyo Samaki ni Mtoto wake. Inatia Kinyaa pale Samaki anapoanza kusema "I Love my Father so much...." Ila...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda...
2 Reactions
178 Replies
20K Views
Pamoja na kwamba ukimwi unaonekana kama vile ni ugonjwa wa kawaida, lakini, Ah wapi, ukimwi bado ni noma sana, ukiupata ndio utanielewa. Kuna jamaa zangu fulani walishawahi kunipigia simu kila mtu...
11 Reactions
28 Replies
4K Views
Binamu yangu aliolewa na kuishi na mume wake kwa raha, walijaliwa kupata watoto wawil, wa kwanza alikuwa wa kiume, na wakike. Wote wakikwa waajiriwa. Weekend moja wakati binamu yangu anafua nguo...
7 Reactions
31 Replies
4K Views
Sifa muhimu 1. Awe mweupe hata kama ni kwa mkorogo 2. Awe na kazi halali inayomwingizia kipato 3. Umri miaka 25- 45 4. Kama ameelimika kuanzia diploma mpaka PHD huyo atapewa kipaumbele Mimi nina...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Mimi niko njema kabisa. Ningependa kuwauliza wanaojua kuhusu hili janga la UKIMWI lilipofikia manake siku hizi watu wanaishi na hawana uoga wowote na ndo vile kinga kila...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Mwezi January niliamia mji mmoja nyanda za juu kusini kimasomo,katika Wakati huu wote nimekuwa Mara nyingi nikipata chakula hasa cha jioni katika mgahawa mmoja karibu na chuoni kwangu...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom