Natafuta mchumba

Wakubupa

Member
Oct 21, 2015
26
9
Habari zenu waungwana,

Najitokeza kwenu mi ni kijana, natafuta mpenzi alie na umri miaka 18_23 mimi umri wangu miaka27 ila awe mkazi wa Kanda ya ziwa mi niko Mwanza.

Mawasiliano no yangu 0753649134 usibep sms zote zitajibiwa.
 
Habar zenu waungwana najitokeza kwen mi ni kijana Natafuta mpenz alie na umr miaka 18_23 mm umr Wang miaka27 ila awe mkazi wa Kanda ya ziwa mi niko mwanza mawasiliano no yangu 0753649134 usibep sms zote zitajibiwa
kila la heri
 
Hiyo ni aibu kubwa kwa umri wako kutangaza tangazo la kutafutata mchumba utadhani ULIKUA NAE SASA KAPOTEA kumbe mme au mpenzi
Kwanza sijajua una umri gani ww
 
Hiyo ni aibu kubwa kwa umri wako kutangaza tangazo la kutafutata mchumba utadhani ULIKUA NAE SASA KAPOTEA kumbe mme au mpenzi
Kwanza sijajua una umri gani ww

Umekimbilia kuandika hujasoma hapo anamiaka 27
 
Hiyo ni aibu kubwa kwa umri wako kutangaza tangazo la kutafutata mchumba utadhani ULIKUA NAE SASA KAPOTEA kumbe mme au mpenzi
Kwanza sijajua una umri gani ww
Umri mbona kaweka hapo. Hujasoma habari yote unakimbilia kupost
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom