lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,160
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kumbe mada zangu mnazipendaa, nashukuru kwa hilo. Najiandikiaga tu. Nashukuru shoga angu nifah na wengine kwa kunitaja kama ninaewakonga JF. Nilitaka kustaafu but ngoja niendeleee kuandika.
Most of my friends are either married or technically married as wana ishi na watu, or kuna maali wanangangania, au wamezaa hivo. Sasa kuna some pressure waliniwekea like mtu ana kuganda kama lubaaa, who are you dating? Can i meet him, mlete nyumbani, etc. Yani mke wa mtu but anafatilia vi details vidogo vidogo vya maisha yangu. Khahaaaa! Yni mwingine ana fret na ku sweat when will i get married kuliko mimi mhusika. Mpaka to some ex extent anakuwa unreasonable. Kama nimetibuana na mtu, anani beg kabisaa muombe msamahaaa, jishushe, for what????????? Ana beg mpaka utashangaaa. Mpaka nikaanza kuogopa sasa huenda silichukulii hili swala serious itakiwavyo, perharps wameona future and it is terrible afu mi nakaa kimaandazi tu. Mmmmmh! Achia dada yangu kipenzi changu kuninanga na kunisimanga nikimchuna vitu, utasikia tafuta mumeee sio bwana, ushakuwa mzee, unanizeekea humu humu ndani si balaa hiliii. Huyu mume wangu hatutoshi wote wawili, Kuchuna huku na huku ndo mpangoooo. Bila kukusimanga utakuwa hukamilishi wewe" Hahahaaaaa! Kazi ipooo.
Alienifungua macho ni dada yagu wa Mwanza, ndo akanipa A to Z. Kwamba wanaume wengi mizigo, sasa uNakuta mtu akiolewa kalamba dume, anataka na wewe uolewe ulambe dume, ili ukimwambia matatizo yako ana feel better off AKILINGANISHA NA YAKE NA KUPATA NGUVU ZA KUSONGA MBELE. Tobaaaaaaa! Sasa ukiwa hujaolewa unamsimulia mtu anakusumbua ndo ana tamaniii na kuwish uolewe nae ili ukipate vizuri sasa cha moto. Hahahaaaaa! Hivo unavokaa huolewi anakunya kunyaaa akiwaza huenda ukapata bahati, ukapata mtu wa maana, ikawa ile kutangulia sio kufika. Hii possiblity inawanyima usingizi mashosti kibaooo. Makubwaaaaa! Kumbeeeeeeee. Akanipa fact unakuta yeye ndani kodi hamnaaa, ada hamnaa afu nampa stori za jana nimekula wapi, kesho sijui naenda wapi inaboaaa kinoma haswaa akifikiria yeye ndo kashajipiga pini, kalamba dumeee, game over.
Akanichana liveeee yeye anaysema hayo, YAMEMKUTAAA. Aliolewa na mume wa kwanza garasaaa, garasaaa haswaa. Mume mzigooo, ana mcost kimaisha na kumrudisha nyuma daily. Akaachana na uraia wa nchi za watu, beba mwanae, karudi bongo kuanza upyaaaa. Wale ndoa ndoano walifanya party dada la dada kaachika. Alikaaa 8 years bila ndoa. Sio kuwa waoaji wa wasiwasi hawakuwepo, walikuwepo kibaaaoooo, ukizingatia mwenyewe yupo kwenye miradi ya afya hii pesa anayo. Wakutaka miteremko kibaooo. Ila ashaipata adhaaa ya mume kilaza hakudhubutuuuu. Watu zaa tena, zaa. Nyota ya pink mwanzo mwishooo. Yeye na ibada, watu hawasamehi ila Mungu anasamehe. Katubu miaka 8 kumkimbia yule jibaba huko ughaibuni, mwisho Mungu kajidhihirisha. Kapata mtu wa maana, msomi, ana uchumi kuliko yeye, ana maisha kumzidi, anampenda yeye kama yeye, na anampenda mwanae. Wakafunga harusi kanisani, ile ya kwanza ilikuwa ulaya huko kwenye ofisi. Mumewe mpaka kesho hajatuma talaka wala hatumiii. Uzuri kule anaishi kimazabe so kuja huku hadhubutuuu, na kalost si kidogo alizoea dada wa mie kumlipia mi mortgage, atibu ngombe na kufanya kazi 3 amlee tu. Nyooo! Wale mashosti waliosherekea kuachana sahivi wanajutraaa maana yuko mbali kimaisha miaka mia 8. Zaidi yakuwa na watoto wakubwa hamna lolote lilizodi, mwenzao wanae wadogo mwingine kamzaa mwaka huu huu na miaka 44 yake ila ana bail big! Ana live large, sikuu ulayaaa au arabuni. Hapana chezeaaa. Mwenyewe roho inanitokaga mda mwingine.
Maneno Kuntuuu!
Akanichana live watu wanamuonea wivu huyo mume wa pili, wanahsi kama rahisi kumpata, au ana bahati sanaa. Nae kwa mtu asiemjua anamfunga kamba ni bahati. Lakini ukweli SI BAHATI. Ni YEARS AND YEARS OF HARD WORK, PRAYERS, PATIENCE, PERSEVERANCE AND CHALENGING FATE AND DARING THE DEVIL. Ndo kutushangaa wadogo zake tunanataka uolewe 25 and below and still get the same package! Thubutuuuuuu! Mmoja kwenye laki moja. Atleast kama unatoka kwenye powerfull family una ndugu wa kukuback up you could have a shot. Ila sisi kajamba nani, ukicheza rough kidogo tu unajipa RED CARD. Kama yeye at 28 alikuwa busy anasoma ma epidemiogogy nchi za watu, mwanae kamuacha kwa bibi, kaachika anafanya vibarua, wanawake wengine walikuwa busy kuzaa, na kujitia wake bora afu sahivi yeye akivuna alichopanda wanatmani nini sasa wakati wa kulima walikuwa wanajipumzisha.
No kinisihii juu, chini, kati kati, soma sanaa, jipange kimaisha, usitake shortcut. Jijenge mdogo mdogo hata ikichukua miaka 10. Soma vyeti vyote uwe wa maana kazini, jianzishi biashara zako, jinunulie resources zako, jiwekezeee, kila siku utakuwa bora ya jana, na utaona quality ya wanaume wanaokufata ni tofautiiii. Ukiwa boss, utatoka na maboss. Ukiwa mfanya biashara mkubwa, wafanyabiashara wenyewe watajiongeza. Milango itafungukaaaa. The best part hivi vitu while you still young vinapatikana kwa urahisi. You can switch jobs, you can flirt for favours. Ukija sasa kuwa na familia you can bail and live large coz uwezo unaooo! Utavaa gauni za 200,000 kwa raha zako, wanao nguo za 70,000 mwanaume gani akupe hii hela ya mchezo? Labda umtengenezeee. Akasema mumewe anakubali kumfanyia coz anajua hata asipofanya yeye anaweza jifanyia vile vile.
Isitoshe wanaume respct yao haiji cheap. Wako very smart! You earn it. Yani mda wote uwe na bargaining chip ndo mtaenda sawa, bila hivo atakuendesha. Na utakuwa defenseless. Isitosh being beautiful and pretty is not enough coz over the years you become less prettier, while lot of other young girls become prettier by day. And men yearn for success, aint nothing sexier to them than money and sucess. Sasa usipohangia upatikanaji wa hilo automatically you become less appealing.
For me it makes sense. Je nyie wadau mnaonaje? From your side na life experience zenu.

Last edited by a moderator: