Huyu mwanaume vipi!

Huyu mwanaume vipi!

mamkuu5

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
1,139
Reaction score
721
Hamjambo wandugu,
Mwenzenu sielewi hawa wanaume wengine huwa wanawaza nini,mimi ni mke na mama wa watoto mapacha tatu yaani sita nimedumu kwenye ndo zaidi miaka kumi sasa,hatukuwahi kua na shida yoyote,

Tuna marafiki wa familia ambao nirafiki wa mume wangu mimi niliwafahamu baada yakuolewa,toka nikiolewa huyu mwanaume (rafiki)sikua namuelewa anavyoniangalia.
Nilihisi jambo sikutaka kuwaza ubaya nilipotezea tu.sasa Leo asubuhi amemsindikiza mume wangu anasafiri tukiwa njiani tunarudi akasimamisha gari na kuniuliza kama nnampango wakuendelea kuzaa,nilishtuka maana nijambo la ndani sana,nikamwambia ikiingia sitoi.kisha nikamuuliza kwani vip shem?ndio alipofunguka kuwa watoto 6 ni wengi sana mume wako akifa nani atakuoa ?
Sikumjibu kitu zaidi ya kumuomba anipeleke nyumbani,najiuliza sana haya yametoka wapi?nimwambie mume wangu?ninyamaze?nifanyeje mwenzenu sielewi!msaada
 
...kama bado unalipa atakuwa anataka japo akuonje..kashakutamani sana kwa hiyo miaka kumi..hayo maswali ni gia tu acheze na hisia zako ujiskie vibaya kuwa mumeo kakufuja ili akili isifikiri vyema,aje na plan b!
Jibu rahisi kabisa,pilipili ya shamba yamwashiani?
 
Kwani mumeo akifa una mpango wa kuolewa?
Kwa nini usingemwambia unampango wa kuwa sister!( joke)

Cku ingine ukibaki nae mlekodi uje umsikirizishe mumeo coz ukimsema inawezekana mumeo anamwamini sana kuliko wewe ndo mana kakuacha nae,, btw , hongera huyo ndo mchawi wenu wa kwanza hasa kwa mumeo, umemjua , hongera
 
Jamaa kuongea point ila jinsi ya kuiwakilisha ndiy tatizo. Kwa maisha ya sasa watoto sita si mchezo. Karibuni kuwatengenezea mazingira mazuri Kwa sasa na baadae.
 
Hamjambo wandugu,
Mwenzenu sielewi hawa wanaume wengine huwa wanawaza nini,mimi ni mke na mama wa watoto mapacha tatu yaani sita nimedumu kwenye ndo zaidi miaka kumi sasa,hatukuwahi kua na shida yoyote,

Tuna marafiki wa familia ambao nirafiki wa mume wangu mimi niliwafahamu baada yakuolewa,toka nikiolewa huyu mwanaume (rafiki)sikua namuelewa anavyoniangalia.
Nilihisi jambo sikutaka kuwaza ubaya nilipotezea tu.sasa Leo asubuhi amemsindikiza mume wangu anasafiri tukiwa njiani tunarudi akasimamisha gari na kuniuliza kama nnampango wakuendelea kuzaa,nilishtuka maana nijambo la ndani sana,nikamwambia ikiingia sitoi.kisha nikamuuliza kwani vip shem?ndio alipofunguka kuwa watoto 6 ni wengi sana mume wako akifa nani atakuoa ?
Sikumjibu kitu zaidi ya kumuomba anipeleke nyumbani,najiuliza sana haya yametoka wapi?nimwambie mume wangu?ninyamaze?nifanyeje mwenzenu sielewi!msaada
hao mapacha ni same or different sexes... Aisee hongera. Umejaliwa.

as for that shem of yours ... usimwambie mmeo maana inasaund kama jamaa anamuombea kifo. Ila mkanye asiingilie tena affairs zako.. On the contrary anaweza akawa yupo concerned tu kwani maisha magumu.
 
Samahani yaani umejifungua mara tatu ,kila ukijifungua ni mapacha tu ?? au mara mbili lakini Triplets ?Hapo ndio palipo nivutia huko kwingine ni swala la kawaida tu uzuri uwe na msimamo sisi wanaume ni viumbe vya aina yake
 
Atakuwa anakupa 'friendly advice au ushuri wa kisehemeji'... Na maisha haya yalivyo tait yani nyie bado nyota ya kijani ya uzazi wa mpango hamuioni? Kama ni kweli una watoto sita ni bora ukafungwe kizazi kwa welfare ya familia yako...
 
Back
Top Bottom