Matumizi ya Kinga (Kondomu): Yupi anayeamua itumike au isitumike, Mwanaume au Mwanamke? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matumizi ya Kinga (Kondomu): Yupi anayeamua itumike au isitumike, Mwanaume au Mwanamke?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Teamo, Mar 9, 2010.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Wapendwa,

  Nimeonelea ni vyema tukajadili KWA MAANA YA KUSAIDIANA juu ya hili:

  Ninachokiamini mimi ni kwamba mwanaume ana ushawishi mkubwa sana katika suala zima la kufanya ngono.

  Uzoefu umethibitisha (RIPOTI KUTOKA VYUMBA VYA KULALA WAGENI) kwamba baada ya lile tendo wahudumu mara nyingi huwa wanakusanya condoms ambazo HAZIJAFUNGUKA au HAZIJATUMIKA KABISA.

  It comes to my knowledge kwamba, kuna uwezekano mkubwa sana kwamba kuna mtu mmojawapo ANAWEZA KUWA NA USHAWISHI MKUBWA juu ya kuutumia mpira wakati wa tendo.

  Pia, kuna uwezekano mkubwa tu kasi ya maambukizi haipungui LABDA kwasababu ya hili tu, watu wananunua condoms wakifika huko mjengoni HAWAZITUMII.

  Hivi wapendwa:

  MWANAMKE ANAWEZA KUMWAMBIA JAMAA ASIVAE CONDOM?

  MWANAUME ANAWEZA KUKATAA KUIVAA CONDOM,au akazuga anaivaa kumbe anaitupilia uvunguni mwa kitanda?

  Inakuwaje watu wazima? TUNASHINDWA NINI HAPA NDUGU ZANGU?

  Tunahitaji condoms jamani? Au tuzipige chini?

  ========
  Almost similar, merged:

  Wapenzi, mnakabilianaje na tatizo la mwanaume kushindwa kuvaa kinga? Au mnajilipua?

  =======
  Case 1:

  Mpenzi wangu hataki kabisa kutumia kinga wakati wa kufanya mapenzi
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  sidhani kama kuna mwanamke anaeweza kumkataza mwanamme kuvaa japo kuwa kuna uwezekano mkubwa kuwa asimkumbushe kuvaa (lakini hawezi kumkataza mwanamme akiamua kuvaa)

  kuna uwezekano pia wa mwanamme kuambiwa avae akasema havai (japo hii nahisi inaweza kutokea mara chache)
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ngoja aje fidel atathibitisha!
  halafu:KWANINI CONDOM ZA KIKE HAZIJAUSHIKA SANA ULIMWENGU WA WADUMISHA MILA?
   
 4. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Naomba weka mada hii vizuri kidogo.Unaongelea kile chama cha wazinzi na waasherati? au hata walioko kwenye ndoa nao huwa wanatumia hizi kondomu?
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  kwanza condom za wanawake ni za bei ya juu kidogo kuliko za wanaume

  mbili inachukua muda zaidi kuvaa kulinganisha na za kiume ( nafikiri hapo itakuwa less effective kwa nchi hii za 'wadumisha mila'......manake gemu uisimamishe kwa dakika kadhaa umwambie mwanamme navaa hatakuelewa kabisa hasa ukizingatia yeye mwenyewe ya kiume hataki kuivaa)

  tatu inasemekana nyingi hazina heat induction ( mpya zilotoka ndo zimesawazisha suala hilo), kwa hiyo wanaume wanasema hawa enjoy

  factors zote hizo kwa kwetu naona zinafanya kidogo ziwe tabu zaidi kutumika
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  naomba tusimame kwenye fact!I MEAN maisha halisi ambayo jamii inaishi.....!THIS IS THE QUESTION OF DEATH AND LIFE!

  the fact ni kwamba watu wanafanya sana ngono WALIOOA/OLEWA NA WASIOOA/OLEWA!

  tuzungumze ukweli charity,
  nipe msimamo wako
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  charity hapo geoff kama ka base sana kwa `wazinzi`, lakini nijuavyo mie hata wa kwenye ndoa hutumia kama njia ya uzazi wa mpango
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  if u think of it ......wazinzi wengi zaidi ya hao waliohalalishiwa
   
 9. T

  Tall JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  point.
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mimi sizungumzii hao wa kwenye ndoa
   
 11. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  am sore I dont have Any koment 4 this,May be nifanye research kwanza vinginevyo nitatoa takwimu zisizo sahihi.Au personal experience ndo inahitajika zaidi hapa?
   
 12. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Watu wengi huwa wananunua sana Condoms lkn wafikapo kwenye mechi, hakuna anayekumbuka kumkumbusha mwenzake kwamba NDom ipo wapi! mwanaume ukisahau basi sometimes na mwanamke anasahau hakukumbushi, mkimaliza game ndo atakuuliza mbona huja ndom. hii inaweza sababishwa na wakati mwingine watu hunywa pombe kabla ya kwenda ku-do, sasa kitakachofuata hapo ni mihemko ya game na ndom haitakumbukwa. Jaribu kufanya uchunguzi katika mahusiano ya watu wataanza vizuri haitapita miezi mitatu, kama si mwanamke basi mwanaume atakuja kukuambia dah tayari nimeshaharibu, yaani mwanamke tayari ana mimba. Kimbilio la kwanza MARIE STOPES- kutoa mimba.hapo ujue kabisa Ndom hutumika siku ya kwanza na pili baadaye hutupiliwa mbaili huko eti TUNAAMINIANA.
   
 13. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  My dia G,kwa mtazamo wangu wapo wanawake wengi tu wanaowashawishi wanaume kutokuvaa kondom(action speak beta zan weds)unakuta mko uwanja ule wa mapenzi,viuchokozi vya hapa na pale vinaanza,jamaa anaanza kupitisha mtarimbo,(mwanamke kalala tu kama hajui kinachotaka kutoea)jamaa anajifanya kucheza cheza pale juu(mwanamke kalala tu na kujifanya anagugumia raha)jamaa anasema"kichwa tu"(mwanamke anasahau haina mabega itapita yote)"eeeh lkn usiingie ndani cheza tu alafu kondom umenunua"?"ndio ninazo usijali c tunacheza kwanza?"ghafla mechi imeisha!"jamani mbn hukuvaa kondom"niko kwenye cku za hatari" "nilipitiwa mama ngoja nipumzike kidogo"!
  Mtazamo wangu mm usijilainishe kama mrenda,chukua kondom mveshe jamaa zen do for love
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hata waliohalalishiwa wanazini....!MOST OF THEM
   
 15. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Bora umeweka wazi.Sababu kwenye ndoa mkiamua kutumia kaondomu lazima mtajadili kwa pamoja.
   
 16. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  this is very sad!lol

  nimekuelewa visuri sana!
  INAONEKANA MWANAMKE ANA MAAMUZI MAKUBWA SANA JUU YA MATUMIZI YA KONDOM
   
 17. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Samahani kama nipo ofutopik.
  Kwa maelezo hayo juu,Inamaanisha kuwa kudumisha mila bila kondomu ni raha zaidi kuliko ukitumia kondomu? Ni mazingira tu ya ukimwi yanafosi matumizi ya kondomu?
   
 18. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Nafikiri elimu ya kuvaa condom bado haijakomaa kwa wengi.....
  wanaume wengi wana fikra ya kuwa nikivaa sita enjoy -ladha itakuwa tofauti (it might be true to some extent lakini kweli ladha ina kipa umbele kuliko maisha yako?) na ukizingatia wanwake hawawalazimishi wanaume kuvaa, ndo unakuta panaharibika kabisa.

  na hilo suala la mkishakuwa pamoja kwa mwezi mmoja unasema unamuamini na unasahau kabisa kuhusu condom.......kabla hujamuamini moja kwa moja, hebu fataneni angaza mkapime kwanza :D
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  EXACTLY!(by data collection method)
   
 20. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  charity most probably kufanya without condom ni raha kuliko kufanya with it.........na kutokana na maradhi STD ( japo condom haiondoshi kwa 100% lakini inasaidia) na un wanted pregnancies ndio unakuta mila zinavunjwa watu wanatumia
   
Loading...