Director D
Senior Member
- Feb 24, 2016
- 192
- 229
Habari Wana JF watu wengi wanajiuliza kwa nini vijana wengi wa kiume siku hizi hawaoi hasa katika maeneo ya mijini, katika pita pita zangu nikapata kujua kuwa swala hilo hutokana na sababu kadha wa kadha lakini sababu kubwa ya vijana kutooa ni wasichana wanaotaka kuolewa hii ni kwa sababu zifuatazo.
1.Wasichana wengi wanaotaka kuolewa huweka sifa na vigezo kedekede kwa wanaume watakaotaka kuwaoa mfano nataka mme wangu awe msomi, awe na hela, awe na kifua, mweupe kidogo n.k hivyo sifa hizo huwashinda vijana wengi kuzifikia hvyo kukosa fursa ya kuwapata na kuwaoa.
2.Idadi ya wanaume ni kidogo ukilinganisha na wanawake hivyo ukitoa kundi la wazee na vijana wadogo, vijana walio katika kundi la kutaka kuoa ni wachache sana ukilinganisha na idadi ya wasichana wanaotaka kuolewa ni wengi zaidi hii huleta ugumu kwa wanaume katika kujua ni nani aliyesahihi kuoa kwa kuwa wasichana wengi wanaotafuta kuolewa(waume) huwa wanaigiza sana(They pritend)
3.Tatizo la ajira ni kikwazo kwa vijana wengi kuoa hii ni kutokana na ukweli kuwa kuoa si lele mama inapaswa kujipanga hasa, kutokana na hali hiyo wasichana wengi hushindwa kuwa wavumilivu kwa wachumba wao na kuhisi wanawapotezea muda na hatimaye huachana.