tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,877
- 15,444
Wakuu,
Baada ya kutoka church asubuhi hii,nikawa nimejipumzisha gheto kwangu,kidogo wazo la leo kupika likanijia,nikaenda gengeni kununua mazaga ya kupika,sikufunga mlango na ufunguo.
Nilivyorudi nikakuta mlango uko wazi nikakuta kuna mtu anapanga nguo zangu kabatini,kumcheck vizuri kumbe ni mpenzi wangu, kilichonishangaza tumewasiliana nae jana usiku na hakuniambia kama atakuja leo kwangu.
Sasa hii ziara yake ya kushtukiza imenishangaza kidogo na pia sikuwa na budget ya msosi wa watu wawili leo,sasa nikimnyima msosi nitakuwa nimekosea wakuu?