Hivi kwanini wanawake wanapenda urafiki na mashoga?

Lumbi9

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
8,638
12,061
Hii nimeiona sana huku uswahilini yani marafiki wakubwa wa mashoga ni wanawake wanaume ni kwa ajili ya kufanya nao lile tendo tu, hivi wanawake mnawapendea nini hao watu? Mnawaona kama wanawake wenzenu au?
 
shoga aningiziwa dushee,shoga anapaka lipstiki na lipishine,shoga anatoboa masikio,shoga anavaa khanga,shoga anavaa pedi,shoga ananyonya deshee,shoga anakatika kitandani,shoga anavaa mavazi ya kidada zaidi,huwez mtofautisha shoga na wanawake wa uswahilini maana hata shoga anaitwa kwenda kusuta mtaani,shoga anafundisha mtu unyago! sifa zotee hizo ila shoga habebi mimba! sifa asilimia 80 za shoga zinakaribia 100% ya wanawake wa uswahilini! acha wawe mabest tu mkuu,huwez zuiaaaa
 
Kuna shoga mmoja hapa Mbeya alikuwa best sana wa dada mmoja ambaye ameolewa. Yaani urafiki wao hata mume aliujua vema na hakuwa na neno kabisa. Shoga anafika nyumbani kwa huyo dada na mume akiwepo wanachat wanajipodoa kisha haooo wanamuaga mume wa huyo dada wanatoka kwenda matembezi. Yaani ni ajabu na kweli:eek::eek:
 
Kuna mwanamke mwandishi wa habari gazeti fulani maarufu alinidokeza sababu za baadhi ya wanawake kupenda urafiki na gays. Kuna wale wanawake wanaopenda kuingiliwa kinyume huwa wanawafurahia sana mashoga kwa sababu nasikia wanajua kuwaingilia vizuri.

Kwa hiyo, mkeo akijenga urafiki na shoga usirelax sana kuna hilo pia!!
 
wala sio suala la kujiuliza mkuu, hao mashoga wamejitoa hali ya ufahamu wa kiume na kujipa uanamke, hivyo kampani zao ni wanawake maana maongezi yao yanafanana mf kuhusu kuchuna wanaume, na wanaume halisi ambao si mashoga hawawezi kukaa na hao watu maana jamii itawaona nao ni mashoga au wanatembea na mashoga. hivyo mashoga kampani itakuwa ni wanawake tu maana wamejiweka katika jinsia ya kike
 
Kuna shoga mmoja hapa Mbeya alikuwa best sana wa dada mmoja ambaye ameolewa. Yaani urafiki wao hata mume aliujua vema na hakuwa na neno kabisa. Shoga anafika nyumbani kwa huyo dada na mume akiwepo wanachat wanajipodoa kisha haooo wanamuaga mume wa huyo dada wanatoka kwenda matembezi. Yaani ni ajabu na kweli:eek::eek:
Huyo mume ai bure labda alikua anajisevia wote
 
Back
Top Bottom