Mkuu, madamu umeweza acha pombe... nina hakika na uzinzi wa weza acha ..utanawiri mara mia 8!!Ndugu wanajamvi tokea niache pombe nina miezi miwili nimenawili kila ninaekutana nae ananiambia Aiseeee umenawili ,Halafu vile vile napiga show ya kibabe sana kwa shemeji na mawifi zenu ,Ushauri wakuuu acheni pombe sio nzuri
Asante mkuuu ntajitahidi ubarikiwe sanaMkuu, madamu umeweza acha pombe... nina hakika na uzinzi wa weza acha ..utanawiri mara mia 8!!
Hongera sana.. ni wakati mwafaka kumkaribia Mwenyeezi Mungu anakupenda bado!!
Amina.. Nawe uwekiongozi wa mfano kwa jamii... maana umetoka mbali Mkuu!!Asante mkuuu ntajitahidi ubarikiwe sana