panga miadi tena na hawara yako huyo mliefumaniwa mkutane tena sehem nyingine afu mwambie bwanaako mkutane nae hapohapo kwenye miadi ili umuombe msamaha mbele ya hawara yakoHabarini wakuu, naomba mnisaidie maneno mazuri kabisa ya kuomba msamaha pindi
nikifumaniwa, aidha kwa mdomo au meseji ya simu au barua. Maneno mazazuri kabisa
ambayo yatasababisha nisamehewe. Ahsanteni.
Ni Mungu yupi unae muabudu ww?anae kutuma kufanya dhambi af urud uombe msamaha?Sio Dhambi, ni kuomba msamaha jambo ambalo hata Mungu analipenda
hata kama umeua.
Mwee kwa wembe huu kaz ya shetani ni ngumu.biblia inasema mtu hujalibiwa kwa tamaa zake mwenyewe.hapo shetan anatoka wap??mwambie shetani alikupitia
Unanipa pesa napokea...mnuno unaendelea!Hahahahahaha unaandaa msg mapema kabla hujafumaniwa,,andaa pesa tu ukifumaniwa mpe pesa ke wako