Pumzi
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 321
- 55
Nauliza hili kwa wenye experience.Hivi kwa mwanamke kuwa na maumbile makubwa ya uke inatokana na kufanya mapenzi sana au wakati mwingine inakua automatically.
Kwasababu waweza kukuta mwanamke anatabia flani ya kutoka na wanaume wengi na tofauti lakini maumbile yake ni madogo na yanabana (mnato) lakini kuna wengine wametulia kabisa lakini maumbile yao yanakuwa makubwa kiasi.
Msaada waungwana