Nahisi mimi sina MOYO bali nina memory card ambayo ni rahisi kuweka kitu na kukifuta muda wowote ukihitaji naweza nikawa na mpenzi nikampenda kupita maelezo na maisha yakaendelea vizuri tu...
Wasalaam vijana wenzangu.
Mada ilo hapo juu yahusika.
Katika ulimwengu huu ya science na technolojia, swala la kufanya ngono/ tendo la ndoa kabla ya ndoa limeonekana la kawaida sana.
Vijana...
Kwa Wale Walio Mapenzi na Walio Tupwa Nje ya Tasnia Hii ya Mahuba,Ni Zipi za Mapenzi Ulizo Zipenda na Unazipenda Ambazo Kwa Namna Moja Au Nyingine Waimbaji Hawaku Tengenezea Video?
Ni Nyipo Zipi...
Ha haa, nacheka si kama mazuri, hivi karibuni humu jukwaani kumekuwa na nyuzi za malalamiko kuwa unamtongoza dada asubuhi, jioni anakupiga kizinga.
Je, Wanaume mmewahi kujiuliza kwanini?
Ngoja...
Ukiwa single unawaona wana ndoa wana furaha,ukioa unawaona walioko single wana furaha.Ndoa ni kama choo cha kulipia,aliyeko nje ya choo anatamani kuingia na aliyeko ndani ya choo anatamani...
Habari zenu ladies and gentlemen,
Mimi ni kijana wa miaka 24 ila tangu nibalehe sijawahi kutongoza na huwa naogopa sana wasichana.
Na ikitokea nimempenda msichana nikitaka kumfuata tu kumtongoza...
UKITAKA NDOA IWE NA AMANI.
Mwanamke amheshimu Mume wake asilimia 100%. Atapata huduma, Amani na hospitality ya juu kutoka kwa Mume wake.
Mwanamke anayelilia 50/50 ndani ya ndoa ni kama mtoto...
Wadau hamjambo?
Niliwahi kuweka habari ya kuhusu Hela za matunzo ya mtoto wanakula na mwanaume mwingine
Ni wiki ya Tatu sasa nipo hapa Dar kushughulikia mgogoro ulioibuka kati yangu na mzazi...
Katika kitu ambacho nimejaribu kupambana nacho nimeshindwa ni uzinzi, kutokana na mipango yangu ambayo nataka niitekeleze ndani ya miaka miwili inayokuja niliamua kujitenga na uzinifu na baada ya...
Mpaka Ilipofikia Mwaka 2012 Nilikua Simjui Mwanamke. Niliwahi Kuwa Na Girlfriends Ila Mfudundu Haukuwahi Kupita Ile Njia Takatifu.
I Used To Do Romance And Stuffs But I Was Not Confident Enough...
Habarini,
Kitambo sana sijaiingia humu nilipamiss sana hapa lakini majuku ndo yalinibana!
Anyway ngoja niende kwenye mkasa wenyewe,nilikuwa na msichana fulani ambaye sahizi tumeachana kama wiki...
Wadau,
Nowdays vitambi vimekosea njia kabisa, yaani dada zetu wamebeba balaa, kutana na mdada nyuma flat alafu mbele kitambi kah! ila kuna wengine wenye vitambi vidogo dogo, vimetengeneza ka...
Mke na mme wamenasana jana wakifanya mapenzi guest house mjini Tunduma jana saa 8 mchana. Mahawahara hao kila mmoja ana ndoa yake juhudi zilifanyika kuwakimbiza hospt Mbozi mpaka sasa bado...
Habari za jioni wadau.
Wadau kama heading inavyosema. Hii inawahusu watu wazima wanaojitambua. Mashoga, Vicheche, Wasagaji, Unsound mind, Haiwahusu.
Ukiona umefika 30 na hujaoa wala kuolewa na...
Kwema wanajamvi wa MMU?
Leo naleta mjadala kuhusu suluhu ya mateso yanayosumbua mahusiano yetu ya ndoa, uchumba, na uhusiano kwa ujumla. Mateso hayo huchochewa na hali nyingi zinazopelekea...
Kila msichana ninayekuwa na mahusiano nae kimapenzi tukiachana anafanya mambo kwa hasira na jazba.
- Wakwanza kuwa nae baada ya kuachana nae alibeba mimba ili kunikomoa.
- Wa pili aliamua kutoka...
Siku hizi ndoa nyingi zimekuwa na matatizo lukuki mpaka hakuna heshima ya ndoa tena.
Wanandoa wanachepuka kila siku mpaka mtu unajiuliza kwanini watu wanaamua kuoana.
Wanandoa wanaachana kila...