Mimi domo zege nifundisheni kutongoza

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
2,120
1,510
Habari zenu ladies and gentlemen,

Mimi ni kijana wa miaka 24 ila tangu nibalehe sijawahi kutongoza na huwa naogopa sana wasichana.

Na ikitokea nimempenda msichana nikitaka kumfuata tu kumtongoza jogoo anawika halafu nakuwa mwoga sana.
 
siku hizi hatutongozi kijana. we shika mkono tu vuta ndani... we ukikutana na girl zoeana nae kidogo tu halafu unatupia utani utani wa hapa na pale ukiona nae anauendeleza huyo tayari wa kwako. imenitokea hivi kwa girl mmoja last year nlikuwa nakutana nae njiani kila siku. nikaanza mazoea kidogo kidogo halafu nikaanza utani wa hapa na pale nikaona nae amevutiwa. Kama last two weeks nikatest nikashangaa kaja mzima mzima... style zipo nyingi
 
Anza level one first.
Jifuze kutoa salamu kwa hawo wadada kwaza then utajua what next maan bila shaka ww sio mtu waku salimiana na watu
Then nenda kijiweni wakt jioni ata maeneo ya slon ukae na wezio utapat kitu then jichanganye na watu, afu sio kila mtu utumie akili kuongea nae hapna wengine tumia common senses tu! hasa ke.
 
Habari zenu ladies and gentlemen mimi ni kijana wa miaka 24 ila tangu nibalehe sijawahi kutongoza na huwa naogopa sana wasichana ,
Na ikitokea nimempenda msichana nikitaka kumfuata tu kumtongoza jogoo anawika halafu nakuwa mwoga sana.
Mkuu andika tu barua, sio lazima wote mtongoze kwa style moja
 
Simama mbele yake kwa kujiamini then mwambie ....dada rimoyo rangu rimekudondokea!
 
Pole sana... anzia kujifunza kwa ma house girl...
ha haa ha. Akumbuke kinga tu aisee; maana watoto wengi wamezaliwa kutokana na experiments za vijana wenye uwoga wa kutongoza na hivyo kujivutia ma-house girls
 
siku hizi hatutongozi kijana. we shika mkono tu vuta ndani... we ukikutana na girl zoeana nae kidogo tu halafu unatupia utani utani wa hapa na pale ukiona nae anauendeleza huyo tayari wa kwako. imenitokea hivi kwa girl mmoja last year nlikuwa nakutana nae njiani kila siku. nikaanza mazoea kidogo kidogo halafu nikaanza utani wa hapa na pale nikaona nae amevutiwa. Kama last two weeks nikatest nikashangaa kaja mzima mzima... style zipo nyingi
siku hizi hatutongozi kijana. we shika mkono tu vuta ndani... we ukikutana na girl zoeana nae kidogo tu halafu unatupia utani utani wa hapa na pale ukiona nae anauendeleza huyo tayari wa kwako. imenitokea hivi kwa girl mmoja last year nlikuwa nakutana nae njiani kila siku. nikaanza mazoea kidogo kidogo halafu nikaanza utani wa hapa na pale nikaona nae amevutiwa. Kama last two weeks nikatest nikashangaa kaja mzima mzima... style zipo nyingi
siku hizi hatutongozi kijana. we shika mkono tu vuta ndani... we ukikutana na girl zoeana nae kidogo tu halafu unatupia utani utani wa hapa na pale ukiona nae anauendeleza huyo tayari wa kwako. imenitokea hivi kwa girl mmoja last year nlikuwa nakutana nae njiani kila siku. nikaanza mazoea kidogo kidogo halafu nikaanza utani wa hapa na pale nikaona nae amevutiwa. Kama last two weeks nikatest nikashangaa kaja mzima mzima... style zipo nyingi
Hahahahahahahahahahahaha Naantombe Mushi kaka hiyo nimeipenda sana ila itabidi nijitoe ufahamu nianze kujifunza.
 
Habari zenu ladies and gentlemen mimi ni kijana wa miaka 24 ila tangu nibalehe sijawahi kutongoza na huwa naogopa sana wasichana ,
Na ikitokea nimempenda msichana nikitaka kumfuata tu kumtongoza jogoo anawika halafu nakuwa mwoga sana.
Huo umri ulionao ndio watu wengi waliofery maisha walikosea wakiwa na umri huo, invest akili yako shuleni hayo mengine yatakuja yenyewe, ni uboya kushinda mmu halafu usijue swaga za kuongea na mademu, au unazo pesa nikuitie demu kuu la makuwadi muoneshe demu yoyote unayemtaka ukimpa malipo yake basi umelamba mzigo.
 
Tumia body language ndo rahisi kufkisha ujumbe kuliko kumwambia.
Pendelea kumwangalia sana hd askie aibu na kutojiamini.
Afu ukiwa karib yke acha mbwembwe kuwa mpole ongea kw step km kuna watu karibu.
Ila tumia macho sana sbb ndo kioo cha moyo
 
Back
Top Bottom