Mtumsafi
Member
- Jun 1, 2012
- 90
- 65
Ha haa, nacheka si kama mazuri, hivi karibuni humu jukwaani kumekuwa na nyuzi za malalamiko kuwa unamtongoza dada asubuhi, jioni anakupiga kizinga.
Je, Wanaume mmewahi kujiuliza kwanini?
Ngoja niwape siri, wadada wengi wamekuwa waelewa na kama wenyewe mnavyodai akiomba pesa anakukata stimu mjue ipo mbinu tunaijua.
Kwa hiyo njia rahisi siku hizi ya kupoteza maboya kwa mtu usiyemtaka ni kumpiga kizinga ili aleft in peace.
Wadada wanajua kuwa akikuomba pesa na kwa maisha ya sasa lazima utajikataa na hivyo kumpunguzia bugudha ya kujibu text na courtship za kujilazimisha.
Ndio njia mupya ya kumkataa mwanaume ambaye hasomeki /hajiongezi /king'ang'anizi.