Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
Ukiwa single unawaona wana ndoa wana furaha,ukioa unawaona walioko single wana furaha.Ndoa ni kama choo cha kulipia,aliyeko nje ya choo anatamani kuingia na aliyeko ndani ya choo anatamani kutoka.Wee oa tu lakini ujue kabisa ndoa ni vita pekee ambayo adui unalala naye kitanda kimoja,muda wowote anakulipua.