Kula junk food kunakufanya uwe mzembe

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
2,674
2,803
Tunaendelea kuwaombea na kuwapa ushauri wanaume wa Dar, hizi junk food kama chips, burger, etc sio tu zinapunguza uwezo wako kwenye 6x6 bali zinafanya mtu awe mzembe mzembe.

Nawasilisha.
732347ef80f0a1334a37bb14c4afd3d1.jpg
 
Kama ni ni wazembe mikoani tupo tunapiga ugali mnaweza kuweka booking
(utani)
 
Tunaendelea kuwaombea na kuwapa ushauri wanaume wa Dar, hizi junk food kama chips, burger, etc sio tu zinapunguza uwezo wako kwenye 6x6 bali zinafanya mtu awe mzembe mzembe.

Nawasilisha.
732347ef80f0a1334a37bb14c4afd3d1.jpg
Kwahiyo huu unga wa dona uliko dar unakwenda wapi? Au hujui dar ni mkoa unaoingiza maelfu ya tani ya nafaka kwa siku? acha kukurupuka, hata mikoani chips zipo, sijui unaishi wapi wewe
 
Wanaume wa Dar!? Haa hii kampeni ya wanaume wa mikoani sio kila anaeishi Dar anaweza kula baga pizza tupo tunaopiga doña na ndondo na 6x6 shwari
 
Back
Top Bottom