Habari zenu wana JF,
Ni tumaini langu mu wazima wa afya!
Nimekutana na mtu akauliza swali mwenyewe nikakosa jibu.Kwa nini wanaume walio wengi chupi za kike kwao ni mwiko?
Utakuta kama imeanikwa na nguo nyingine, wanaume walio wengi akiamua kuanua nguo zote ataanua lakini chupi ataacha.
Na akikuta imepeperushwa na upepo huisogeza kwa mguu na kama amemheshimu mwenye nayo basi ataiokota kwa mti haigusi.
Je, ni nini hasa chanzo cha hili?