VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
Sasa unaipiga picha maiti harafu unapost KWA Facebook au insta Hata jf!! Hivi unaona sawa KWELI kumpost marehemu KWA mitandao ya kijamii utakuta watu wamefikia hatua ya kupiga maiti ambayo IPO mortuary!!! Jamani siyo vizuri kabisa NA MUNGU pia hapendezwi kabisa!!!! Tubadilike watanzania!!!! Hebu jiulize Siku utakapofariki je ungependa maiti yako ipigwe picha then ipostiwe KWA social networks???
We need to change and grow up thinking positive and thinking big
We need to change and grow up thinking positive and thinking big