Salam,
Hivi nyie wadada siku hizi mmeingiwa na nini vichwani mwenu?
Yaani nimekutokea jana tu halafu leo unanitumia text eti una sh 40,000, like serious?
Kwa taarifa yenu kama mlikuwa hamjui, acha niwape siri: Asilimia kubwa ya wanaume hatupendi kuombwa hela bali tunapenda kutoa wenyewe bila kuombwa, mfano mzuri ni mwenyewe, mi ni mhongaji mzuri sana ukiendana na itikadi zangu vizuri mbona utafurahi mwenyewe.
Halafu saa zingine ninajiharibia wenyewe mambo mazuri, mfano huyu dogo nilikuwa namuwazia mipango ya muda mrefu lakini kwa kitendo alichofanya jana nimemuona ni gold digger mzuri tu na hivyo mpango wangu umekufa.
Swali langu: Je mnafanya hivi kutaka kutupima upendo wetu au mnataka kutukomoa? Tabia hizi mbovu mbovu ndizo zinazotu-force hata sisi tuombe papuchi mapema kwasababu ya hizo tabia zenu mbovu.
Mbadilike bwana, alaa.