Jamani ni umri gani sahihi wa kuoa?

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,334
naona uzee unaninyemelea wandugu sina mshichana na wala sijawa na hisia za kuanza kutafuta na ki finacial nipo safi na kielimu pia ..but i realy dont know the age of getting marriage.. nakaribia kuwa na miaka 30 baada ya mwaka mmoja ..je nitafute mke au bado niendelee kuwa bachela?
kuna tatizo lolote kubaki hivi ..msaada wenu watu wangu unahitajika hapa ..msinirushia madongo kwani mawazo yenu as a great thinker yatanijenga na wala sio kunibomoa ..
thanks guys and have a nice time:
 

Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,182
14,319
Kama unajihisi umefikia muda wa kufanya hivyo endelea na mipango yako
Hakuna umri sahihi wa kusema huu ndio umri wa kuoa
Ila pale mhusika anapokuwa tayari kufanya hivyo na anapojiona kweli nastahili kuw ana mwenzangu
 

Trustme

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,170
349
Yan nikupongeze sana kama ni kweli umefika umri huo bado ni bikra! Watu kama ninyi ni adimu sana kuwapata enzi hizi.
Kinachonifurahisha ni kwamba wewe mwenyewe umeshajua kwamba sasa ni umri wa kuoa ndiyo mana umekua na wazo hilo la kuuliza hapa JF! Kwa kawaida kama usingejua umefika umri wa kuoa wala usingeuliza. Kimsingi umri wa kuoa ni baada ya kutimiza umri wa mtu mzima (18yrs) ila sasa inategemea na ukomavu wa akili (yan kuweza kutunza familia) unaweza ukawa na miaka hata 40 ila akili bado ikawa ya kurukaruka na ukashindwa kutunza familia. Ila kwa wewe nafikiri umri wako unafaa na umeonyesha kukomaa kiakili baada ya kutafakari na kuleta jambo hii kwa wanaJF.
Mia nakupa big up sana anza kutafuta mchumba sasa ONYO usikute ndiyo mbinu zako za kutafuta dada wakifikiri wewe bikra kumbe FATAKI!!!!!
 

Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,182
14,319
Trustme umeongea vyema sana
Na hilo ndio la muhimu maana kinachotakiwa ni ile akili kukomaa na kujijua kuwa sasa anaweza kukaa na familia yake na wakaunda familia
Maana wengine umri unaweza kuwa mkubwa ila bado akili ya kujua kuwa ana familia na vipi aishi na familia yake inakuwa haipo
Ni jambo la muhimu kama ameweza kujitunza kiasi hicho na ni wakati wake sasa kukaa na kuunda familia
 

klorokwini

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
8,664
5,031
Inategemea nini kinakusukuma kuingia kwenye ndoa.
-Kama ni watoto na target yako ni kuwa friend of your own kids basi upo umri sahihi sasa kuowa na bado umechelewa kidogo
-Kama ni mtu ambae hauamini kwenye uzinifu basi pia nadhani ni late kwani hayo maji kila yakikaa mwilini yanaleta tafrani flani
-Kama ni commitment basi inabidi ujipime uwezo wako kama uko tayari kuwa commited
-Kama ni kutulia na mpenzi mmoja, the only right time ni pale utakapompata mmoja ambae atakubali pia kuwa mmoja kwako.
and the list goes..........
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom