my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,390
Nkimuomba pesa anasema maneno mengi, wewe kila saa unaomba pesa, mbona wadogo zako hawaombi? , wewe ndo unajua kutumia?
Nmekaa mwezi mzima sjaomba anauliza, mbona siku hizi huombi pesa, unapata wapi, nani anakuoa pesa, umeanza tabia mbaya?
Ukiomba anasema usipomba anasema.
Mzazi kama huyu unamfanyaje?
Nmekaa mwezi mzima sjaomba anauliza, mbona siku hizi huombi pesa, unapata wapi, nani anakuoa pesa, umeanza tabia mbaya?
Ukiomba anasema usipomba anasema.
Mzazi kama huyu unamfanyaje?