Ladies only - Win a date with Ngabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ladies only - Win a date with Ngabu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyani Ngabu, May 13, 2010.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  May 13, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nataka kuanzisha shindano la akina dada - Win a date with Ngabu. Wadau mnasemaje....
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ooh leo umesema !
   
 3. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #3
  May 13, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Halo halo halo.I wish kama ningekuwa mdada ningeshiriki kwenye hili shindano..Shindano linahusu nini?likoje?
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  May 13, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Vigezo ni kama ifuatavyo:

  -Umri kati ya miaka 25-32
  -Urefu kati ya 5'3 - 5'8
  -Complexion yoyote ile
  -Dini yoyote
  -Elimu ya chuo kikuu (GPA isiwe chini ya 3.0)
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  May 13, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wewe mara uje humu kama demu mara uje kama njemba....weee Semenya nini? Una chromosomes gani wewe? XXY?
   
 6. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Hahaaaaaaaaaaaa...That's wat's up babu.......Sikuwezi ndugu yangu wewe..............
   
 7. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #7
  May 13, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  haya, kazi kwa wadada wanaotaka kuwin hiyo date. all the best wadada
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  May 13, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  U r becoming approved these days Ngabu-man!
  Watalazimika kufanyaje au kuwa na vigezo gani ili washinde date na wewe?
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  May 13, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Baadhi ya sifa nmezitaja hapo juu na naongeza nyingine hapa.

  Wanatakiwa wawe na

  -Uwezo mzuri wa kujieleza
  -Kujua kuandika bila makosa ya tahajia
  -Wajue kuzungumza Kiswahili fasaha na sanifu (Kiingereza kitafikiriwa pia)
  -Wawe wenye upendo, ucheshi, na msingi mzuri wa maadili
   
 10. bht

  bht JF-Expert Member

  #10
  May 13, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  ngumu kupata mwenye sifa zote hapo shem, sasa sema angalau nifikishe sifa ngapi hapo ndo naweza kutuna maombi nikafikiriwa?
   
 11. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #11
  May 13, 2010
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Heheheee.... haya sasa. We unataka date wa nini wakati ulishasema kwamba huwezi kuwa na partner?
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  May 13, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Siyo lazima huyo binti awe na hizo sifa kwa asilimia mia moja. Asilimia kati ya 65 - 85 ya hizo sifa tu ndio inahitajika. Na mshindi atabahatika kwenda kula starehe na mimi ktk visiwa vya Turks & Caicos, St. Thomas, au St. Tropez.....

  Kazi kwenu akina dada. Mpira uko upande wenu.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  May 13, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wapi nilisema sitaki kuwa na "date"? Nioneshe niliposema na ntaifuta mada hii
   
 14. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #14
  May 13, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Alisema haweza kuoa bana..........
   
 15. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #15
  May 13, 2010
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ulisema huwezi kuwa na partner bwana... ngoja niitafute hiyo thread nitaileta hapa fasta. gimme 10 mins
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  May 13, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Poa...naanza kuhesabu dakika hapa. Umebandika muda huu "Today 02:54 PM"

   
 17. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #17
  May 13, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Hutaipata..............
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  May 13, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Zimebaki dakika mbili
   
 19. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #19
  May 13, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Kwa hisia zangu naona mamangu FL kashapita. Ila best wengine wake za watu nkikuta unadundwa napita ka sijawahi kukuona!
   
 20. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #20
  May 13, 2010
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Anyways, nitaitafuta taratibu and nitaiweka hapa. Ila ulisema. But sasa kama hata hupendi kulala na mtu inakuwaje ukiwa na huyo date? Manake nakumbuka vizuri ulisema unapenda kujinafasi kitandani. Huoni kama utakuwa humtendei haki date wako?
   
Loading...