Upo katika strong relationship na unampenda au umeoa Ila unakuja kufahamu kuna jamaa linakugongea unafanyeje baada ya kugundua na kujiridhisha kweli jamaa anakugongea Ila una ushahidi wa moja kwa moja!Toa ushauri.
Unaita trafiki kwamaana jamaa kakugongea mkeo.Upo katika strong relationship na unampenda au umeoa Ila unakuja kufahamu kuna jamaa linakugongea unafanyeje baada ya kugundua na kujiridhisha kweli jamaa anakugongea Ila una ushahidi wa moja kwa moja!Toa ushauri.