Faida za kuvaa soksi wakati wa kufanya mapenzi

barwani

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
238
160
Wana jamvi,

Nimesoma utafiti toka Chuo kikuu cha Wageningen nchini Uholanzi,watafiti hao wamegundua kua uvaapo soksi/mvaapo soksi miguuni wakati wa kugegedana hufanya mechi kua kalina ya muda mrefu,yani from 50% to 80%,Tafiti hii ni nafasi tosha kwa wanaume wa Dar na imani mkitoka kwenye pweza mkaingia kwenye soksi gem itakua kali zaidi ya jana na juzi.
 
Back
Top Bottom