Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,227
- 157,422
Siku za karibuni imekuwa ni kawaida sana kina dada kutovaa chupi kwa sababu mbalimbali.
Kwa wanaume kuna faida sana kutovaa chupi kuliko kuvaa chupi.
Chupi hubana via vya uzazi na kusababisha mkandamizo wa sehemu hizo muhimu na kusababisha joto kali. Kuwepo kwa joto kwenye anga hizo hupelekea tatizo la Low sperm count. Ukiwa na tatizo hili kwako kupata mtoto itakuwa ni ndoto.
Usipovaa chupi, viungo vinapata hewa ya kutosha na kukupa burudani.
Chupi ninazoongelea ni zile ambazo sio boxer au bukta.