Ndoa sio vifungo vya shati kusema kila mtu anaweza kufunga!

Earthworker

Member
Jul 15, 2011
83
30
Hapa nazungumzia wenzangu na mimi hasa mabinti hawa wanatabia ya kuharakia mambo!
Huwaga wanajihisi wamechelewa kisa kuona wenzao wapo ndani ya ndoa wanasahau kuwa ndoa mengi wanaanza kutupa kazi ya kusuluhisha migogoro!
may be wanapagawa na maisha ya ndoa ya kwenye muvi!
 
Ni kweli kabisa ' Ndoa sio vifungo cha shati...' Pressure anayopata kutoka kwa watu wanaomzunguka kwa load kikubwa inachangia mtu kufanya maamuzi yasiyo sahihi.....wengine ndo wafuata mikumbo wakiingia siku mbili wanalia lia
 
Katika maisha yangu,huwa nawakubali sana waislam kwenye masuala ya ndoa wao ndoa zao ni very simple na mkishindwana kila mtu anachukua Ustaarabu wake na maisha yanaendelea siyo hizi za kikristo ukikosea Kuoa ndio kwisha habari yako ukiwafuata mapadre,maaskofu,wachungaji,nk watakuambia sisi huwa tunafunga tu lakini hatutenganishi,lijitu linakukera huko ndani mpaka basi mwishowe ata kama ilikuea ufe kesho kutwa utakufa leo,ntabadili dini soon
 
Usijipige pini mdogo wangu

Sio kama anajipiga pini...nilikuwa nimepanga kuoa mwaka huu lakini kutokana na mambo mambo nimejipa likizo kidogo kujitafakari nikiwa mbali na mahusiano huku nikiendelea na maisha...nashukuru nimejua mapema maana ingekuwa majanga
 
Kumbe ulikua na mahusiano ya haramu tangu mwanzo. Sishangai kusikia hutaoa hivi karibuni.
 
Hahahahaha...Haramu kama ningekuwa kwenye urafiki sugu kama watu humu wanavyopiga miaka miwili kwenda mbele

Haramu kama ningekuwa kwenye uchumba sugu wa level ya B.Com au Medicine maana
Kumbe ulikua na mahusiano ya haramu tangu mwanzo. Sishangai kusikia hutaoa hivi karibuni.
 
Katika maisha yangu,huwa nawakubali sana waislam kwenye masuala ya ndoa wao ndoa zao ni very simple na mkishindwana kila mtu anachukua Ustaarabu wake na maisha yanaendelea siyo hizi za kikristo ukikosea Kuoa ndio kwisha habari yako ukiwafuata mapadre,maaskofu,wachungaji,nk watakuambia sisi huwa tunafunga tu lakini hatutenganishi,lijitu linakukera huko ndani mpaka basi mwishowe ata kama ilikuea ufe kesho kutwa utakufa leo,ntabadili dini soon

kwanza unaoa zaidi ya mmoja ukipenda...yaani kazi yako ni kuchagua ladha tuu,,leo yenye mnato kesho inayotait keshokutwa mwenye hips kubwa mtondogoo mwenye mtindi wa kutosha kifuani....raha hizi zitatuua kwa kweli
 
Hapa nazungumzia wenzangu na mimi hasa mabinti hawa wanatabia ya kuharakia mambo!
Huwaga wanajihisi wamechelewa kisa kuona wenzao wapo ndani ya ndoa wanasahau kuwa ndoa mengi wanaanza kutupa kazi ya kusuluhisha migogoro!
may be wanapagawa na maisha ya ndoa ya kwenye muvi!
Kwani ndoa ina umuhimu gani? Wakiwahi au wakichelewa
Wakiolewa au Wasiolewe...WAACHE NA MAISHA YAO.
 
Sio kama anajipiga pini...nilikuwa nimepanga kuoa mwaka huu lakini kutokana na mambo mambo nimejipa likizo kidogo kujitafakari nikiwa mbali na mahusiano huku nikiendelea na maisha...nashukuru nimejua mapema maana ingekuwa majanga
Usioe kabisa mkuu,ndoa haina faida yoyote.
 
mwaka huu mwishoni nafunga ndoa, sijali nitakutana na nini huko ndani
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom