Nifanyeje baba yangu mzazi ajue kwamba mimi ni mwanae?

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,675
Sijui kama mtanielewa ila nataka nieleweke hata kwa kutumia akili za mwisho mlizo zaliwa nazo.

Mimi ni mtu mzima of course najua mema na mabaya na kwa upeo wangu leo hii ninatamani kujiweka huru ili nafsi iwe huru asilani.

Najijua kwamba baba aliyenilea sio baba yangu mzazi, lkn pia sitokuwa na moyo wa shukurani nisipomshukuru kwa moyo wa upendo na wa kujali wa baba aliyenilea. ukweli sijawah kujuta kulelewa nae na wala sijawah kuona tofauti kati yangu na watoto aliowazaa yeye. kanisomesha toka std 1 hadi elimu ya juu, kaniozesha kwa heshima zote na bado kanipa zawadi za kuanzia maisha mimi na hubby wangu. Ukweli najivunia kuwa naye as baba na naitwa kwa jina lake.

Wapendwa wangu kama mjuavyo damu nzito kuliko maji katika kukua kwangu wapambe (of which hawakosekanagi ) walinipa ukweli juu ya baba yangu mzazi. sijawah kumwona kwa macho ingawa namwona kwenye tv na magazeti tu. Mbaya zaid huyu baba sina uhakika kama alishawah kunitolea hata sh kumi ya matumiz lkn nimejikuta nafsi yangu ikitaka tu huyu baba ajue kwamba mm ni mwanae. kumwambia mama naogopa as nitamuumiza ama pia naweza kumuumiza baba. lakin nafsi inanisukuma sana nimtafute nimwambie ukweli.

sasa ishu inakuja hivi kwanza nitawezaje kumwambia huyu baba aniamini kwamba ni kweli?? wengi husema nimefanana naye usoni lkn sijui sana as najiona kama nimefanana na mama. kwa status yake pia naogopa isije ikawa headlines kwenye news ikamchafulia hadhi yake manake ni waziri fulan kwenye hii serikali.

on the other hand hivi nitakuwa nimemuumiza vipi mama yangu kwa kumwambia huyu baba ukweli?? je baba mlezi atachukulia poa ama ndio nitakuwa nimemkwaza?? ikumbukwe kwamba kanilea toka niko kachanga hadi leo hii na sijawah kujuta kwa yy kunilea.

naomba ushauri wako wa busara na sio matusi ama kashfa.
 
Wewe umejuaje kwamba huyo unayemdhani ndo baba'ako wa kibaiolojia ndo baba'ako kweli? Ni hayo maneno ya watu tu au kuna lingine?

Halafu na yeye huyo unayemdhani ndo baba'ako kwa nini yeye hajui kuwa wewe huenda ni mwanae?

Naona kama vile kuna disconnect mahali kati ya mama'ako, wewe, na huyo baba wa kibaiolojia mdhaniwa.
 
Ingekuwa umefanya la maana kama ungesema sababu za baba yako kutokukulea ili tujue namna ya kukushauri

By the way,ni mwanzo mzuri wa kujitambua!!!!!!!!!!
mimi nilijikuta ninalelewa na huyu baba mlezi na sikujua kama sio baba yangu. sababu sijawah kuuliza manake pia sikuona umuhimu wake nilipokuwa nakua lkn sasa leo nataka tu kuwa huru nafsini.
 
Pole sana gfsonwin, mie kwa maoni yangu achana naye huyo. Ataona kwa kuwa unajua ni mtu mzito ndani ya Serikali basi unatafuta mali toka kwake kitu ambacho kinaweza kisiwe na ukweli wowote. Pia anaweza kukukana kabisa na hiyo kukuumiza zaidi na pia Baba aliyekulea pia inaweza kumuumiza kwa kuona kwamba pamoja na jitihada zake zote za kukulea kama mwanae toka uzaliwe hadi sasa umekuwa mtu mzima bado humkubali kama ni Baba yako wa kweli.
 
Last edited by a moderator:
. Baba aliyekukea ndo baba yako

Anajua ukihuzunika

Anajua ukifurahi

Anajua unachopenda na usichopenda

Hakulala kwa ajili yako

Alijinyima kwa ajili yako

Achana na baba jina utatafuta maumivu yasiyokuwa na sababu kwenye maisha yako

Shukuru Mungu kwa baba ulonae achana na huo mpangomkakati ulonao.....
 
Ni vyema ukauliza hilo la baba yako kutokukulea kwanza kabla hujafanya lolote

Huenda baba yako hataki kukuona

Au amefanya kama yale ya kwenye wimbo wa Afande Sele,Mkuki moyoni

Nadhani unaujua wimbo huu

Kama huufahamu nenda kautafute

Angalia usije ukaharibu ndoa ya watu

Ila ukijua sababu unaweza kupata pa kuanzia

Lakini pia ni vyema ungejua sababu ya mama yako kutokuambia baba yako wa kweli ni yupi

Napo pana uzito

Fuatilia na hili!!!
 
Wewe umejuaje kwamba huyo unayemdhani ndo baba'ako wa kibaiolojia ndo baba'ako kweli? Ni hayo maneno ya watu tu au kuna lingine?

Halafu na yeye huyo unayemdhani ndo baba'ako kwa nini yeye hajui kuwa wewe huenda ni mwanae?

Naona kama vile kuna disconnect mahali kati ya mama'ako, wewe, na huyo baba wa kibaiolojia mdhaniwa.

swali zuri sana hili.
bada ya kuambiwa na watu nikachunguza kwa mama nikakuta ni kweli ingawa mama hakuniambia yy.
niliambiwa na mdogo wake na mama (ma'mdogo) ukweli na alinionyesha hadi picha ya baba ambazo walipiga na mama wakati wako na uhusiano. kutoka hapo nikaanza kuangalia nilivyosadifu na ndugu zangu nikagundua kuna utofauti mkubwa sana.

lkn pia nilipochukulia tarehe ya mama kufunga ndoa na niliyozaliwa iliacha gap kubwa sana na niliwah kuisoma kadi ya mama ya kliniki akiwa na mimba yangu iliandika jina la huyu baba mzazi. sijawah kumwambia mama hili manake niliiona kwa bahati mbaya tu kabatini mwake.

istoshe niliambiwa kwamba nilipozaliwa aliambiwa ila kwasabau ya system ya jeshi ya wakati huo hakuweza kusema juu ya hatma yangu, so alimwacha mama kwenye wakati mgumu sana na hapo ndipo walipopotezana kimawasiliano.
 
Pole sana gfsonwin, mie kwa maoni yangu achana naye huyo. Ataona kwa kuwa unajua ni mtu mzito ndani ya Serikali basi unatafuta mali toka kwake kitu ambacho kinaweza kisiwe na ukweli wowote. Pia anaweza kukukana kabisa na hiyo kukuumiza zaidi na pia Baba aliyekulea pia inaweza kumuumiza kwa kuona kwamba pamoja na jitihada zake zote za kukulea kama mwanae toka uzaliwe hadi sasa umekuwa mtu mzima bado humkubali kama ni Baba yako wa kweli.

rafiki yanu mpenzi thanks a lot.

kuhusu ishu ya yy kuwa mzito naenda kutafuta unafuu labda ajishuku tu manake ukweli sina shida kiviile ya maisha na si kwangu tu hata kwa wanangu najimudu kimtindo.
nafsi yanu sijui kwann inaniimbia sana juu ya kumtafuta huyu baba, mpaka nakosa amani kabisa lkn naogopa sana nisije nikamuudhi baba mlezi na mama yangu. Lkn nafikir kuna sababu za yy baba mzazi kujua kwamba mm ni mwanae ama unasemaje hapo??
 
. Baba aliyekukea ndo baba yako

Anajua ukihuzunika

Anajua ukifurahi

Anajua unachopenda na usichopenda

Hakulala kwa ajili yako

Alijinyima kwa ajili yako

Achana na baba jina utatafuta maumivu yasiyokuwa na sababu kwenye maisha yako

Shukuru Mungu kwa baba ulonae achana na huo mpangomkakati ulonao.....

thanks a lot my friend!!
hili pepo na lishindwe kabisa linaninyima raha sana
 
Ni vyema ukauliza hilo la baba yako kutokukulea kwanza kabla hujafanya lolote

Huenda baba yako hataki kukuona

Au amefanya kama yale ya kwenye wimbo wa Afande Sele,Mkuki moyoni

Nadhani unaujua wimbo huu

Kama huufahamu nenda kautafute

Angalia usije ukaharibu ndoa ya watu

Ila ukijua sababu unaweza kupata pa kuanzia

Lakini pia ni vyema ungejua sababu ya mama yako kutokuambia baba yako wa kweli ni yupi

Napo pana uzito

Fuatilia na hili!!!

dah!! umeniumiza sana sana Eiyer
 
Last edited by a moderator:
THERE IS A REASON FOR EVERYTHING!!!!!!!!!! (Some times shit happen cause God is doing you a favor)

JIULIZE JE HUYO BABA WILL HE BE PROUD OF YOU LIKE YOU ARE OF HIM? Anaweza akuona NIGHTMARE! I guess you should leave sleeping lions sleeping!

Mi kuna mtu alikomaa kwenye harusi yake kumualika excuse of a father of hers, mimi nilimfosi amualike step dada wake akagoma! Guess what? The real dad wasnt so pleased to see her! Na akamwambia she might be telling the truth but ITS TOO LATE TO CHANGE THINGS! She should just continue living like he is not there as she always has! He wanst planning a recognition let alone a reunion! AAnd she should never find him again.

ALL IM SAYIN DONT BE TOO OPTIMISTIC!!!!!!!! THERE IS A REASON WHY HE NEVER FOUND YOU ALL THIS TIME!

BTW mawaziri wazee awamu hii wenye mtoto umri kama wewe ni ..................
 
swali zuri sana hili.
bada ya kuambiwa na watu nikachunguza kwa mama nikakuta ni kweli ingawa mama hakuniambia yy.
niliambiwa na mdogo wake na mama (ma'mdogo) ukweli na alinionyesha hadi picha ya baba ambazo walipiga na mama wakati wako na uhusiano. kutoka hapo nikaanza kuangalia nilivyosadifu na ndugu zangu nikagundua kuna utofauti mkubwa sana.

lkn pia nilipochukulia tarehe ya mama kufunga ndoa na niliyozaliwa iliacha gap kubwa sana na niliwah kuisoma kadi ya mama ya kliniki akiwa na mimba yangu iliandika jina la huyu baba mzazi. sijawah kumwambia mama hili manake niliiona kwa bahati mbaya tu kabatini mwake.

istoshe niliambiwa kwamba nilipozaliwa aliambiwa ila kwasabau ya system ya jeshi ya wakati huo hakuweza kusema juu ya hatma yangu, so alimwacha mama kwenye wakati mgumu sana na hapo ndipo walipopotezana kimawasiliano.

Duh! Kama yote hayo ni ya kweli basi pole sana. Pia naielewa kiu ya nafsi yako kutaka walau kujua zaidi juu yake na yeye kujua juu yako.

Kama una njia ya kuwasiliana naye mimi sioni ubaya wowote ukiamua kumtafuta kwa lengo la kujuana zaidi. Ila nadhani pia itakuwa ni busara kama ukianza kulonga na bi mkubwa kwanza umsikize naye maoni yake kuhusu hicho kiu chako. Na itakuwa vizuri zaidi ukipata maoni ya baba mlezi pia naye umsikie.

Kama unaweza kuanza na bi mkubwa basi anza naye yeye kwanza. Yeye anaweza pia akawa kiungo muhimu kwa baba mlezi katika kupoza hali ya hewa.

Baada ya kusikia maoni yao nadhani utakuwa na wewe umeshapata ramani ya jinsi mwelekeo mzima utakavyokuwa.
 
umuhim wa kumwambia upo lakin je huyo baba ako alishawahi kujiuliza

kama kuna sehem ana mtoto!!!!kama miaka yote hajawahi kukujali kuna umuhim

wowote wa yeye kukujua sasa!!!!!!!!!!

mmh! sijui kama alishawah kujiuliza hilo swali kwakweli
 
Sijui kama mtanielewa ila nataka nieleweke hata kwa kutumia akili za mwisho mlizo zaliwa nazo.

Mimi ni mtu mzima of course najua mema na mabaya na kwa upeo wangu leo hii ninatamani kujiweka huru ili nafsi iwe huru asilani.

Najijua kwamba baba aliyenilea sio baba yangu mzazi, lkn pia sitokuwa na moyo wa shukurani nisipomshukuru kwa moyo wa upendo na wa kujali wa baba aliyenilea. ukweli sijawah kujuta kulelewa nae na wala sijawah kuona tofauti kati yangu na watoto aliowazaa yeye. kanisomesha toka std 1 hadi elimu ya juu, kaniozesha kwa heshima zote na bado kanipa zawadi za kuanzia maisha mimi na hubby wangu. Ukweli najivunia kuwa naye as baba na naitwa kwa jina lake.

Wapendwa wangu kama mjuavyo damu nzito kuliko maji katika kukua kwangu wapambe (of which hawakosekanagi ) walinipa ukweli juu ya baba yangu mzazi. sijawah kumwona kwa macho ingawa namwona kwenye tv na magazeti tu. Mbaya zaid huyu baba sina uhakika kama alishawah kunitolea hata sh kumi ya matumiz lkn nimejikuta nafsi yangu ikitaka tu huyu baba ajue kwamba mm ni mwanae. kumwambia mama naogopa as nitamuumiza ama pia naweza kumuumiza baba. lakin nafsi inanisukuma sana nimtafute nimwambie ukweli.

sasa ishu inakuja hivi kwanza nitawezaje kumwambia huyu baba aniamini kwamba ni kweli?? wengi husema nimefanana naye usoni lkn sijui sana as najiona kama nimefanana na mama. kwa status yake pia naogopa isije ikawa headlines kwenye news ikamchafulia hadhi yake manake ni waziri fulan kwenye hii serikali.

on the other hand hivi nitakuwa nimemuumiza vipi mama yangu kwa kumwambia huyu baba ukweli?? je baba mlezi atachukulia poa ama ndio nitakuwa nimemkwaza?? ikumbukwe kwamba kanilea toka niko kachanga hadi leo hii na sijawah kujuta kwa yy kunilea.

naomba ushauri wako wa busara na sio matusi ama kashfa.

Wewe kwanza huna uhakika kama kweli huyo baba yako umesikia kutoka kwa wambea maana wa kuthibitisha hilo ni mama yako, pili huna tatzo lolote umeolewa na una elimu yako na maisha yanaenda sawa, swali unafikriri huyo mheshimiwa akijua kuwa wewe ni mwanae utafaidika nini? atakuuliza ulikuwa wapi mpaka umeona amekuwa waziri.... kama mama yako angeona kuana umuhimu wa kukuonyesha baba yako angekuwa amekuonyesha, suala la kufanana ni waswahili wananogesha mambo yawezekana hata huyo siyo baba yako... Ushauri wangu so long as umepata malezi bora bila kuwepo huyo baba mpaka hapo ulipofika huna haja ya kuanza kuhangaika tulia na mume wako mpende saana pia zidisha mapenz kwa mama yako over!.....
 
swali zuri sana hili.
bada ya kuambiwa na watu nikachunguza kwa mama nikakuta ni kweli ingawa mama hakuniambia yy.
niliambiwa na mdogo wake na mama (ma'mdogo) ukweli na alinionyesha hadi picha ya baba ambazo walipiga na mama wakati wako na uhusiano. kutoka hapo nikaanza kuangalia nilivyosadifu na ndugu zangu nikagundua kuna utofauti mkubwa sana.

lkn pia nilipochukulia tarehe ya mama kufunga ndoa na niliyozaliwa iliacha gap kubwa sana na niliwah kuisoma kadi ya mama ya kliniki akiwa na mimba yangu iliandika jina la huyu baba mzazi. sijawah kumwambia mama hili manake niliiona kwa bahati mbaya tu kabatini mwake.

istoshe niliambiwa kwamba nilipozaliwa aliambiwa ila kwasabau ya system ya jeshi ya wakati huo hakuweza kusema juu ya hatma yangu, so alimwacha mama kwenye wakati mgumu sana na hapo ndipo walipopotezana kimawasiliano.

Hapa kuna tatizo kubwa sana kati ya mama yako na baba yako wa kibaiolojia

Huenda ndo maana hakuambii ukweli

Ila hiyo excuse ya jeshi hainiingii akilini

Kama najua ana mtoto kwanini asiulizie?

Mpaka leo yuko jeshini?

Au zile system sipo mpaka leo?
 
Watoto wakike kwanini mna hila jamani eee?
Huko kupepesa mapaka ukajua huyo anaekulea sio babayako haijakutosha
sasa umeamua kumuendea huyo uliyoambiwa ni baba yako.
Una uhakika gani na hayo maneno?
Na kwanini usitafute utaratibu wa kumuuliza mama yako kwanza?

mimi ni mama ninachoamini ni hivi anayejua ukweli kuhusu mtoto ni wanani haswa huwa ni mama mwenyewe nasio baba ingekuwa umepewa go ahead na mamayako ningekusapoti sana ila ni maneno ya mtaani au kwa vile umeshajua ni kiongozi eee?:disapointed:
 
Sijui kama mtanielewa ila nataka nieleweke hata kwa kutumia akili za mwisho mlizo zaliwa nazo.

Mimi ni mtu mzima of course najua mema na mabaya na kwa upeo wangu leo hii ninatamani kujiweka huru ili nafsi iwe huru asilani.

Najijua kwamba baba aliyenilea sio baba yangu mzazi, lkn pia sitokuwa na moyo wa shukurani nisipomshukuru kwa moyo wa upendo na wa kujali wa baba aliyenilea. ukweli sijawah kujuta kulelewa nae na wala sijawah kuona tofauti kati yangu na watoto aliowazaa yeye. kanisomesha toka std 1 hadi elimu ya juu, kaniozesha kwa heshima zote na bado kanipa zawadi za kuanzia maisha mimi na hubby wangu. Ukweli najivunia kuwa naye as baba na naitwa kwa jina lake.

Wapendwa wangu kama mjuavyo damu nzito kuliko maji katika kukua kwangu wapambe (of which hawakosekanagi ) walinipa ukweli juu ya baba yangu mzazi. sijawah kumwona kwa macho ingawa namwona kwenye tv na magazeti tu. Mbaya zaid huyu baba sina uhakika kama alishawah kunitolea hata sh kumi ya matumiz lkn nimejikuta nafsi yangu ikitaka tu huyu baba ajue kwamba mm ni mwanae. kumwambia mama naogopa as nitamuumiza ama pia naweza kumuumiza baba. lakin nafsi inanisukuma sana nimtafute nimwambie ukweli.

sasa ishu inakuja hivi kwanza nitawezaje kumwambia huyu baba aniamini kwamba ni kweli?? wengi husema nimefanana naye usoni lkn sijui sana as najiona kama nimefanana na mama. kwa status yake pia naogopa isije ikawa headlines kwenye news ikamchafulia hadhi yake manake ni waziri fulan kwenye hii serikali.

on the other hand hivi nitakuwa nimemuumiza vipi mama yangu kwa kumwambia huyu baba ukweli?? je baba mlezi atachukulia poa ama ndio nitakuwa nimemkwaza?? ikumbukwe kwamba kanilea toka niko kachanga hadi leo hii na sijawah kujuta kwa yy kunilea.

naomba ushauri wako wa busara na sio matusi ama kashfa.

Kama ni Pinda usithubutu, maana atasema huyu piga tu liwalo na liwe!
 
Back
Top Bottom