Umamaliza kila kitu mkuu. Na ile makitu ilivyo, ukijua munashare, ni bora umpishe mwenye nguvu.1. Mtu mmoja anaweza kuingia choo zaidi ya kimoja asitoke na harufu mbaya. Choo kinachotumiwa na wengi nadhani unajua kinavyokuwa.
2. Dereva mmoja anaweza kuendesha gari zaidi ya moja bila ya yeye kukongoroka. Gari inayoendeshwa na wengi nadhani unajua inavyokuwa.
3. Nirahisi kuazimisha MCHI kuliko KINU, mchi ni rahisi kusafisha. Kinu usafishaji wake nadhani unajua. Usiombe uliemuazimisha akatwangia kisamvu, ukitia mchele ujue utatoka kijani.
Hapana manuu India huwa mwanamke ndie anaoa NA ndie anatoa mahari sijajua ktk kusex nayeye anafanywa ama anafamya lakini KWA mume mmojaKuna nchi zina utamaduni huu kama sikosei ni India huko mwanamke mmoja anaweza kuwa na mme zaidi ya mmoja Polyandry kama bado nakumbuka form 2.
huku ni kukosa cha kuandika, waachie wenye dini yao,kama ni usawa tungepokezena kuzaa pia...Sio mbaya kuuliza ndugu zangu mnaoruhusiwa kuoa wanawake wanne kwanini na wao wasirusiwe kuolewa na wanaume wanne.
Tufike wakati tuwe na usawa kidogo kama nyumbani tumefikia kuleta vyakula pamoja basi na huku sheria tuwe sawa.