Afanyeje ili amsahau marehemu baba yake?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Huyu ni binti msomi sana anayetokewa na lindi la mawazo ya kifo cha baba yake kipenzi ambapo imekua ngumu sana kumsahau kiasi kwamba inamuathiri sana kisaikolojia na hali hiyo ikimrudia mara kwa mara na kumfanya ashikwe na fadhaa.

Tafadhali mwenye ushauri na similar experiences.
 
hahahha hawezi kumsahau babake hata km amekufa na kifo akisahauliki... inaonesha babake hajafa mda mrefu ndo maana anamkumbuka sana, usijali itafika kipindi ataona hali ya kawaida, na atakubali matokeo kuwa babake hatamwona tena.

sema anachotakiwa ni kukubali matokeo kwamba aliyekufa hawez kurudi tena kikubwa ni kumuombea... mshauri anavyozidi kumkumbuka kutamfanya apate vidonda vya tumbo hivyo awe bize na mambo yake
 
Kumuombea marehemu? Wafu hawaombewi .. Time is now while still breathing , once you gone , you gone for good ... No more to pray for the people who are dead.... Thanks..
 
Huyu ni Binti msomi sana anayetekewa na lindi la mawazo ya kifo cha baba yake kipenzi ambapo imekua ngumu sana kumsahau kiasi kwamba inamuathiri sana kisaikolojia na hali hiyo ikimrudia mara kwa mara na kumfanya ashikwe na fadhaa

tafadhali mwenye ushauri na similar experiences
Its not easy to forget her Father just like that but it is not too late for her to make Jesus as her Father like always has been... Pole zake .. Its only Jesus can understand her pains right now.. So she has to be close to God and ask Holy Spirit to comfort her during this hard time.. Thanks..
 
asante sana nitamfikishia huu ujumbe kama ulivyo Barikiwa sana
 
hahahha hawezi kumsahau babake hata km amekufa na kifo akisahauliki... inaonesha babake hajafa mda mrefu ndo maana anamkumbuka sana, usijali itafika kipindi ataona hali ya kawaida, na atakubali matokeo kuwa babake hatamwona tena.

sema anachotakiwa ni kukubali matokeo kwamba aliyekufa hawez kurudi tena kikubwa ni kumuombea... mshauri anavyozidi kumkumbuka kutamfanya apate vidonda vya tumbo hivyo awe bize na mambo yake
asante kwa ushauri na hili ndilo gumu maana ni takribani mwaka wa tatu sasa
 
hahahha hawezi kumsahau babake hata km amekufa na kifo akisahauliki... inaonesha babake hajafa mda mrefu ndo maana anamkumbuka sana, usijali itafika kipindi ataona hali ya kawaida, na atakubali matokeo kuwa babake hatamwona tena.

sema anachotakiwa ni kukubali matokeo kwamba aliyekufa hawez kurudi tena kikubwa ni kumuombea... mshauri anavyozidi kumkumbuka kutamfanya apate vidonda vya tumbo hivyo awe bize na mambo yake
asante sana ushauri umefika kwa shosti yangu
 
Aiseeee hiyo kitu isikukute mm juzi nimefiwa na bibi kipenziiiiiiii tuko zaid ya wajukuu 45 ila alikuwa ananipenda hakuna mfano. Bibi yangu amefariki at 96 yrs ila alikuwa ananipenda nikimuwaza usiku mzima nalia. Kila mara alipenda kuwaambia watu kuwa kama akifariki nikiwa huku mikoani ninapoishi, kabla sijafika wasizike! Ndo kafa sasa wakaanza tuzike kesho kwani kumsubiri mtu mmoja haina maana. Kelele kelelee nipo njiani nasafiri wao wanataka kuzika
Nikakumbuka maneno ya bibi nilivyomtunza mpaka anakufa, nikapiga simu, nikawaambia kwa asira "anaejiamini akazike" na wazee wakakomaa wanisubir. Ndugu wakanisamanga hapa ni kijijini mtu akiharibika ndani tutaingije? nikawajibu nyumba nilijenga mimi wote, kimia mpaka nilipofika. Kiukweli nilizimiaaa!

Upendo wa bibi sijawahi kuona. akiwa hai nikienda nyumbani atasali rozariiii ataniombea weee atanipikia vizuri dah ni mengi. hata sasa hivi ndotoni namuona tunacheka tunaongeaa au ananiomba kitu nikimpa tu gafla anapotea! Yaani nina maumivu si kidogo.

Ushaurii huyo binti avumilie kwa kipindi hiki hiyo hali lazima imtokee. Pole yake ila mwambie tuko wengi!
 
Dah pole sana mpendwa luckyline kwa kufiwa na bibi yako kipenzi.

KIROHO UPO NAE ILA KIMWILI KAPOTEA.

R.I.P-BIBI
 
Kumuombea marehemu? Wafu hawaombewi .. Time is now while still breathing , once you gone , you gone for good ... No more to pray for the people who are dead.... Thanks..
Ooh!! May the Lord
What do you Mean!!

So Marehemu haombewi!! For What!! For How!! I think it's a matter of attitude.
Basically, The positive attitude helps us coast along with pleasure,the negative attitude can make us cynical, pessimistic individuals like you dear.

Marehemu lazima aombewe,unapomuombea unapata baraka zake. A few minutes of silence each day,trying to remember someone who passed away for the bleesing of God, Works Wonders.

This will impart peace of mind and a calm outlook that will help us to cope with life's daily irritants.But hii inategemea na imani uliyonayo.

Hope, you're such person who become cynical and pessimistic when things don't go their way.

You pray and beg the almighty to set things right. Why don't the latter do it on a regular basis?
Why does it take adversities and problems to make them seek God?

May the Lord forgive you for your sins.
 
labda ugonge andiko langu linasema

kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.

MuHUBIRI 9:5
 
Ooh!! May the Lord
What do you Mean!!

So Marehemu haombewi!! For What!! For How!! I think it's a matter of attitude.
Basically, The positive attitude helps us coast along with pleasure,the negative attitude can make us cynical, pessimistic individuals like you dear.

Marehemu lazima aombewe,unapomuombea unapata baraka zake. A few minutes of silence each day,trying to remember someone who passed away for the bleesing of God, Works Wonders.

This will impart peace of mind and a calm outlook that will help us to cope with life's daily irritants.But hii inategemea na imani uliyonayo.

Hope, you're such person who become cynical and pessimistic when things don't go their way.

You pray and beg the almighty to set things right. Why don't the latter do it on a regular basis?
Why does it take adversities and problems to make them seek God?

May the Lord forgive you for your sins.

Praying for the dead is not a biblical concept. Our prayers have no bearing on someone once he or she has died. The reality is that, at the point of death, one’s eternal destiny is confirmed. Either he is saved through faith in Christ and is in heaven where he is experiencing rest and joy in God’s presence, or he is in torment in hell. The story of the rich man and Lazarus the beggar provides us with a vivid illustration of this truth. Jesus plainly used this story to teach that after death the unrighteous are eternally separated from God, that they remember their rejection of the gospel, that they are in torment, and that their condition cannot be remedied (Luke 16:19-31).

Often, people who have lost a loved one are encouraged to pray for those who have passed away and for their families. Of course, we should pray for those grieving, but for the dead, no. No one should ever believe that someone may be able to pray for him, thereby effecting some kind of favorable outcome, after he has died. The Bible teaches that the eternal state of mankind is determined by our actions during our lives on earth. “The soul who sins is the one who will die. . . . The righteousness of the righteous man will be credited to him, and the wickedness of the wicked will be charged against him” (Ezekiel 18:20).

The writer to the Hebrews tells us, “Just as man is destined to die once, and after that to face judgment” (Hebrews 9:27). Here we understand that no change in one’s spiritual condition can be made following his death—either by himself or through the efforts of others. If it is useless to pray for the living, who are committing “a sin that leads to death” (1 John 5:16), i.e., continual sin without seeking God’s forgiveness, how could prayer for those who are already dead benefit them, since there is no post-mortem plan of salvation?

The point is that each of us has but one life, and we are responsible for how we live that life. Others may influence our choices, but ultimately we must give an account for the choices we make. Once life is over, there are no more choices to be made; we have no choice but to face judgment. Spend more time on Reading your Bible, ndugu... I hope you got the answer. ... Thanks..
 
Ajitahidi kusoma maandiko matakatifu mara kwa mara.Ikiwezekana aombe kazi mbali na nyumbani ili abadilishe mazingiara ya kuonana na watu au kuona vitu vilivyokukuwa vinamhusu baba yake huyo.Na kila siku awe anajiambia yeye mwenye kwamba hata nikimuwaza vipi baba hawezi kirudi.Atazoea tuu.mi mwenyewe nlifiwa na mamaangu nikiwa mwaka wa mwisho chuo 2011 na alikuwa ananipenda sana.Nlichofanya nlihama kabisa maeneo ya nyumbani saa hizi nipo nkoa wa mbali na home nipo kawaida na nimeshazoea, kila nikienda nyumbani nakumbuka ila nimeshaamini hawezi kurudi baas nina amani tele.Kifo hakisahauliki ila ajitahidi kuzoea maana ukiendekeza anaweza kujiathiri mwenyewe na watu wake wa karibu, wakati babaake keshajipumzikia.
 
Kumuombea marehemu? Wafu hawaombewi .. Time is now while still breathing , once you gone , you gone for good ... No more to pray for the people who are dead.... Thanks..
raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani, amina.. mimi mwenyewe nmefiwa na baba yangu mwaka jana lkn mpk leo namkumbuka..ila nmekubali matokeo namuombea kila siku kabla sijalala..
 
Back
Top Bottom