Nashindwa kuwaelewa akina dada, ''toka tuachane sijawahi kuwa na mahusiano''

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,679
8,866
Unakutana na mwanamke anakwambia tangu aachane na bwanake miaka 4 iliyopita hajawahi kuwa na mahusiano!Hivi kweli kuna mwanamke anaweza kukaa 4years bila kusukutuliwa kweli?

Nakwanini nyie wanawake mnapenda kutumia kauli hii ili muonekane waaminifu wakati mnapigwa milazo daily?
 
Unakutana na mwanamke anakwambia tangu aachane na bwanake miaka 4 iliyopita ajawahi kuwa na mahusiano!hivi kweli kuna mwanamke anaweza kukaa 4years bila kusukutuliwa kweli?Nakwanini nyie wanawake mnapenda kutumia kauli hii ili muonekane waaminifu wakati mnapigwa milazo daily???
Umekutana na demu wa wapi huyo
 
Mkuu hao wasikusumbue mm akiniambia hvyo naitikia tu lengo si kugegeda tu? Hayo ya kutofanya au kufanya ni yakwake mm nikishagegeda basi blacklist inamhusu
 
kuna ambaye kweli ukimtazama unajua huyu anaweza kuwa mkweli, Lakini kuna mwingine wala hafananii hilo jibu.
lakini wapo wanaoweza kama aliumizwa saaaaaana anaweza poteza hamu na mwanaume
 
Unakutana na mwanamke anakwambia tangu aachane na bwanake miaka 4 iliyopita ajawahi kuwa na mahusiano!hivi kweli kuna mwanamke anaweza kukaa 4years bila kusukutuliwa kweli?Nakwanini nyie wanawake mnapenda kutumia kauli hii ili muonekane waaminifu wakati mnapigwa milazo daily???
Wewe unafikiri yeye mjinga akuambie ili umpige chini. Lazima ajipe ka thamani fulani akikuambia jana tu nimesukutuliwa si utaniambia?
 
wala hujadanganywa wajua maana ya mahusiano wewe? kumdinya changu utaita n mahusiano? labda nae alikuwa anapigwa juu kwa juu 'nlipe nsepe kinda thing'
 
Back
Top Bottom