OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 51,980
- 114,293
Ni mara ya 3 sasa kila nikichepuka mnara hausimami,tena unalala doro wakati mpira uko kwenye 18.
Jana mchepuko umenisafiria toka Dar kwa gharama zake,dudu limegoma kung'ata na kujikosha imebidi kurudisha gharama.
Nimejiridhisha kabisa kuwa my wife kanifanyia ndumba coz nikiwa kwake napiga vitu vya maana.
Kwa roho safi nasema asante umenifanyia uchawi wenye faida.