Bi harusi apewa talaka siku ya harusi

Bi harusi apewa talaka siku ya harusi

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,069
Reaction score
34,839
1464634_885849521433714_4101045482127885277_n.jpg


Bi harusi apewa talaka siku ya harusi.Picha niaba ya gazeti la Daily Mirror nchini Uingereza

Bwana harusi mmoja kutoka Saudi Arabia amempa talaka mkewe siku ya harusi baada

ya kumuona uso wake kwa mara ya kwanza wakati mpiga picha alipotaka kuwapiga picha.

Maharusi hao kutoka mji wa magharibi wa Saudia,Medinah walikubaliana kuoana licha ya kutoonana uso

kwa uso,swala ambalo ni utamaduni mkubwa wa mataifa ya mashariki ya kati.

Lakini wakati mwanamke huyo alipofungua kitambara alichokuwa amejifunika uso na kutabasamu katika kamera,mumewe alishtuka na kuondoka wa ghafla.

Kulingana na gazeti moja katika eneo hilo kwa jina Okaz,mwanamume huyo alianguka na kuzirai huku wageni waalikwa wakijaribu kuingilia kati ili kutatua kilichokuwa kikiendelea.


Hata hivyo Bwana harusi alisema kuwa hakuweza kumwona bi harusi kabla ya harusi yao gazeti hilo la Okaz liliripoti.


'' Si wewe msichana niliyetaka kuoa,si wewe kamwe niliyedhani '' kwa hivyo nakupa talaka''alisema bwana harusi.

Na alipompa talaka bi harusi naye alianguka na kuzirai na kuifanya harusi hiyo kuwa usiku wa majonzi. chanzo.Bi harusi apewa talaka siku ya harusi - BBC Swahili
 
Haya ndo mambo tunayosemaga kuwa ukijifanya faza sana waweza uziwa mbuzi kwenye gunia, ona sasa huyu boya alitaka kuingizwa king , bahati yake kawahi kunasua mtego.
Ukiwa nunga yembe utaendelea kusugua gaga mpaka uote sugu.
 
Haya ndo mambo tunayosemaga kuwa ukijifanya faza sana waweza uziwa mbuzi kwenye gunia, ona sasa huyu boya alitaka kuingizwa king , bahati yake kawahi kunasua mtego.
Ukiwa nunga yembe utaendelea kusugua gaga mpaka uote sugu.

ndiyo kufanya nini?
 
Primitive customs from primitive societies.
 
shake well before use......aliuziwa mbuzi kwa gunia

madhar ya kutokumgegeda nakumtoa nguo moja moja kwa kutmia mdomo na meno ndo haya

pole sana
 
utamaduni wa hivo generation hii duh,unaoa hata hujawai muona huyo mtu duh
 
Back
Top Bottom