Sijajua kwanini, au labda ni kutokana na mfumo wa uraji kubadilika au tabia ya kutopenda kujifanyia mazoezi! Maana kwa sasa imekuwa kawaida unakuta mdada kweli kajaaliwa tako tako ila anaona...
Sio siri tena, hivi sasa kati ya matatizo yanayo tusumbua wanaume wengi ni la nguvu za kiume.
Tunapo lizungumzia neno hili kila mtu anakua na maana yake lkn yenye kulenga kuto kumridhisha mpenzi...
Katika Injili ya Luka 16:18 “Kila amwachaye mkewe na kumuoa mke mwingine azini naye amwoaye yeye aliyeachwa na mumewe azini.”
Nimesukumwa kulizungumzia suala hili zito: Suala la kuachana watu...
Nimepata friend request ya mtarajiwa nimeshindwa kuijibu, nataka nichote ushauri kwanza.
Binafsi najijua sina break kwenye kupost issue na comments kwenye post na mipicha sasa najiuliza...
Mpenzi wangu alipaswa kuona siku zake tarehe 5 mwez 3. Mwezi wote wa pili uliopita hatukuwahi kukutana ila mwezi wa tatu full kugegeduana.
Sasa anahisi amejaa, hapa najiuliza ni yangu au yake au...
Wadau habari,
Kuna kitu huwa kinanishangaza labda tunaweza kupata michango mbali mbali.Hivi unakuta mtu ulikuwa unamtongoza dada fulani muda mrefu tu, akakutolea nje,then ukaja kuoa nae akaolewa...
Kwanza nikiri kuwa mimi ni mwanaume ambaye ni muhanga wa nguvu za kiume, na kutokana na tatizo hilo niliabika mara kadhaa huko nyuma hivyo binafsi nikaamua niwe single mpaka nitakapopata ufumbuzi...
I am looking for a woman who is going to be my wife. Age of 22-27 and should be independent.
I'll consider mostly those from lake zone except kagera region.
I am 29 yrs old.
More details will...
Katika hali inayonisikitisha shemeji yangu kamaliza economics chuo flan, sasa hapa kazini kwangu kuna post ambayo mimi naweza kufanya makeke nimuingize kwenye post hiyo kwa kuwa mimi ndio mkuu wa...
Toka utoto wangu mpaka sasa katika ujana nimekuwa nikiamini watu wenye umri mkubwa wana akili zaidi kwa maana wanauwezo mkubwa wa kuelewa na pia wameshajifunza mengi.
Miaka ya hivi karibuni...
Habari zenu wanajukwaa la MMU,
Natumai hamjambo na mnaendelea kutekeleza ilani ya Mzee wa Hapa Kazi Tu, bila ya kupepesa ningependa niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Nina rafiki yangu...
Wakuu,
Kuna baadhi ya mambo wanandoa wengi wamekuwa wakiyachukulia kuwa ni mambo madogo ila kiuhalisia ukiyafanya sio mambomadogo yafuatayo ni mambo saba yanayoleta mahaba katika ndoa.
1- Mtolee...
Usiku mwema kwenu nyote wana jf,mlale unono na usingizj mzuri ,big up kwa asma,latifa,aggyjay,rubby,faiza foxy,valentine,nawapenda sana na wote ambao sijawataja,mlale salama wana wote na wadada...
Habari za jioni mabibi na mabwana,
Namba moja wangu yupo, ananitazama, anatabasamu.
Ameridhika na vile ninavoishi. Wote tunafurahiana. Tunaishi maisha ya mzaha na raha siku zinasonga.
Namba...
Ilikuwa jana tulikuwa tumeenda kazini wote amebaki yeye mwanangu mdogo kama mwaka hivi.According to huyo msichana mtoto alikuwa amelala akamaliza kitandani kwake na yeye akaenda chumbani kwake...
Jamani mwezenu nina mke wangu lakini yeye anapenda niwe nae masaa yote,pia yeye anapenda tufanye mapenzi kila SAA.
Nifanyeje ili kumridhisha hayo yote?
Msaada wenu tafadhali.
Am resident of Nairobi, so I met this girl like a week ago na ashaanza kuniita 'sweetheart' and asking if I can loan her Kshs. 7000/= her rent is overdue....
Nimkopeshe ama afungiwe nyumba?
Sio kila mwanamke anayeshinda kanisani atakuwa na maadili mema au ndo mke mwema! Wengine ni waigizaji wanashinda kanisani ili wasipate kutengwa na jamii zinazowazunguka!
Tena unaweza kukuta mtoto...
Walikutana wakiwa chuoni wakaanzisha uhusiano na baada ya mwanaume kumaliza chuo mpenzi wake akiwa mwaka wa mwisho wakoana kwa harusi.
Maisha yakaenda wakapata mtoto na mume akapata kazi mkoa...
Kabla ya yote niwatakie heri ya sikuu ya pasaka wanaJF.
Nipo hapa kwa ombi la kuhitaji ushauri kutokana na kisa kifuatacho ambacho kimenisibu mimi mwenzenu.
Nina rafiki yangu wa kiume ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.