Ukiamua kuwa mwanamke gogo usiwe mlalamishi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,567
158,292
Mademu wengine wana lawama,

Wakiskia Boyfriend wake amecheat atapiga kelele atamsuta "umekosa nini mwanaume huridhiki,utamaliza nyama bucha ileile,kwani mi sikupi,si nakuuliza wewe Hasidi Fisadi namba 1 wa mapenzi usiyetosheka,kwani haikutoshi hii?"

Anatokwa povu wakati in reality hakuna anachofanyaga, anachojua ni kubetua ile loki ya sidiria na kujilaza chanuu kusubiria mkwaju baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka.

Kazi yote ufanye wewe sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe maana ukifika mlangoni unadakwa kabla hata hujavua viatu, unafinywa si kufinywa, unamen g'enywa na mchanganyiko wa meno na kucha unabaki unaweweseka kama kondoo aliyesahau mlango wa banda.

Khanga ikianguka mtoto ana shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua, mguu mmoja dirishani mwingine kwenye feni ukija kutua unasindikizwa na busu la sikio unaambiwa pole,halafu unapewa juisi ya embe huku unakunwakunwa ulale.

Sasa wewe unabetua sidiria unatulia kama ndama mwenye mdondo akimaliza unamwambia "sogea huko tulale unanibana" Asipochepuka labda ni mhashamu
Askofu Mwandamizi wa Kigango cha Mavurunza.
 
Akuu,,,,, boyfriend tu ndo nihangaike ivo aende zake tu
 
Unajua Ujuzi wa mapenzi huchangia na sehemu ulipozaliwa au kukulia,sasa wewe mpenzi wako amezaliwa mfano ifakara huko cjui kmzaramo huko we umemkuta tayari yupo dar unategemea atalingana na mzaramo au Mtanga au mtoto aliezaliwa pwani??Kwenye ku do sex suala kubwa kwa mwanaume huwa ni kukidhi haja yako manjonjo ni bonus tu.
 
Aisee wapunguzie matusi kdg....., lakini pia hapo kwenye kuweka mguu dirishani, je mguu ukitoka nje itakuwaje? Pia kwenye feni mmh feni gani inaweza kubeba mtu?

we rudi tu kwenye uhalisia, fanya tendo taratibuuu halafu muwe pia mnapata muda wa ku discuss Tanzania itaendeleaje siyo tu vita humo ndani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom