Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamaa yangu anaambiwa na mkewe achelewe kurudi kama wanaume wengine. Mshikaji hapigi tungi hapendi soccer michepuko mara chache. Amekuwa benet na mimi.Namuona anaboeka anakunywa maji tu na soda...
1 Reactions
58 Replies
10K Views
Shost niliyesoma nae six form tumekutana mjini miezi michache, baada ya A-level yeye hakuendelea na shule tena, ameajiriwa kwenye taasisi Fulani. Maisha yake ya kawaida anasukuma gurudumu...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwanza alisema ile simu uliyonipa kipindi kile nimeuza, nikamtafutia simu nyingine. Baada ya mwezi nikamuona na ile simu aliyosema kauza. Nikamwambia vipi mbona unayo? Anajichekesha. La pili...
3 Reactions
72 Replies
9K Views
Baada ya kumaliza chuo, akaajiriwa kwenye shirika moja la umma miaka kadhaa iliyipota na hajaoa. Siku moja alipokuwa akitoka kazini akaona foleni imezidi barabarani hivyo akaamua kupumzika kwenye...
5 Reactions
68 Replies
8K Views
Hali wazee, Kuna rafiki yangu amekutwa na kisanga kigumu sana. hivi karibuni amemfumania mke wake na akapewa taarifa kwamba njemba inamjengea mke wake nyumba mbezi mwisho. Jamaa akaenda kuongea...
6 Reactions
67 Replies
10K Views
Jamaa kakutwa na mkewe anatoka Guest house na mwanamke mwingine, baada ya ugomvi na purukushani mwanaume amekataa katakata kuwa hajafanya kitu na yule mwanamke kule Guest (coz kwa maelezo hake...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Utaratibu wa wanaume katika hili jukwaa kuwasifia /kuonyesha jinsi tunawapenda wake zetu nadra kutokana na sisi wanaume kuwa na mipango ya kando mingi. Leo nimeona niwaambie nanyi mjue kuwa...
4 Reactions
71 Replies
9K Views
“Strength and dignity are her clothing, and she smiles at the future. She opens her mouth in wisdom, and the teaching of kindness is on her tongue,” Proverbs 31:25. Dear son, Can you imagine what...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi nikiajana na umri wa miaka 28 - 33 jinsia ni mume. Ni maji ya kunde mrefu wa wastani. Ni mwanaume wa dar es salaam kama ulivomsemo wenu naishi dar Nina kazi yangu inayoniingizia kipato cha...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Ladies and gentlemen? I'm with profound joy indeed taking this wonderful chance inviting you all in my wedding day. The wedding service will take place at St. Joseph church at 13.30 on 23. April...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Nianze kwa kusema kuwa jinsia ambayo imebalikiwa kwa miujiza ni ya kike yaani hawa karibia kila siku wanapata miujiza Mwanamke analipwa 150,000/= amepanga chumba cha 100,000/= ana hand bag 5...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Wasalamu ndugu zangu, Wanajamiiforum wenzangu naomba mnisaidie katika hili la uvaaji wa chupi za bikini. Ukweli niliwai kusikia hapo nyuma kupitia maneno ya watu; walipata kusema,"wanawake...
2 Reactions
56 Replies
23K Views
Kutongozana ni raha sana lakini raha imezidi pale nilipoambiwa na msichana niliyemtongoza alipokubali tumeendelea kuwa na mahusiano mazuri tu, sasa leo kaniambia eti mimi ni handsome lakini mimi...
3 Reactions
115 Replies
12K Views
Hivi umeWahi kujiuliza kabla ya kufanya mapenzi wanamapenzi wanapenda kuvuana ngo lakini baada ya mapenzi kila mtu anavaa nguo zake tatizo ni (1) Ni HAMU ZIMEWAISHA (2)AIBU IMEWAISHA (3)SHETAN...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
1. NDOA YA MKEKA Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana! 2. NDOA YA MIHEMKO (NYEGE)...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wapendwa...... Hakuna ubishi kuwa Dar es salaam ni chem chem ya wasichana wazuri na warembo wa kila idara.... Ukikatiza mitaa ya mliman city, maeneo ya quality centre bila kusahau maeneo...
3 Reactions
26 Replies
7K Views
Wadau natumai hamjambo Mm ni mwajiriwa, ni baba wa watoto wawili na mke mmoja, mke wangu amejiajiri mwenyewe ana saloon na ana biashara ya chakula ya medium scale na biashara zingine flan flan...
4 Reactions
121 Replies
13K Views
Eti wanajamvi, wadau na wale wote wapambanaji wa maisha, Hawa dada zetu wanaoolewa na wazee wa kizungu je, ni kweli wanawapenda hao wazungu kwa dhati au ndio hivyo tena wanafata maisha mazuri tu...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu. Poleni na majukumu na mihangaiko ya maisha ya kila siku. Nina mpenzi wangu ambaye tulianza mahusiano yetu tangu mwaka jana. mara nyingi amekua akiniomba nizae nae (anizalie)...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
wanaume wengi tumekuwa tukilalamika madem siku hizi wanapenda pesa but tunavyowafanyia hamna namna coz utakuta dem hupigi pombe afu unakuta mwanaume ni mlevi anapiga konyagi, mirungi, ugoro, alafu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…