MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,136
- 3,924
Jamaa yangu anaambiwa na mkewe achelewe kurudi kama wanaume wengine.
Mshikaji hapigi tungi hapendi soccer michepuko mara chache.
Amekuwa benet na mimi.Namuona anaboeka anakunywa maji tu na soda mpaka saa tano,hata derby kali vipi anasinzia.Kisa mkewe kamkataza asirudi mapema home.
Swali: Kwani mwisho wa sisi wanaume kurudi home ni mida gani?Na tumshauri afanyeje?